Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili - MOI imeandaa msimu wa tatu wa mbio wa mbio ya MOI marathon 🏃♂️🏃♀️🏃
Lini: Tarehe 25/06/2023
Mahali: Kiwanja cha Chuo cha Afya Shirikishi Muhimbili (MUHAS)
Lengo: kusaidia walemavu 100 wenye uhitaji wa miguu bandia
Umbali: KM 5, KM 10, KM 21
Jiandikishe kwa kulipia Tsh 35,000 kupitia Control no: *995730355300
Jina: Muhimbili Orthopaedic Institute
Baada ya kujisajili tuma taarifa zako ( Jina, umbali na size ya T-shirt unayovaa 👉🏻 0655 393 932
Kwa Mawasiliano zaidi
📞0784 967 276
https://t.co/bCf7L6EG7d
Hongereni Yanga kwa ushindi katika mchezo wenu wa raundi ya kwanza ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup). Nawatakia maandalizi mema kwa mchezo wenu wa raundi ya pili, muendelee kuiheshimisha nchi yetu. Hamasa yangu inaendelea.
Baada ya kuhitimisha Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Troika Jijini Windhoek nchini Namibia, nilipata wasaa wa kuzungumza na sehemu ya Watanzania waishio nchini humo, baadhi wakiwa na familia zao. Ndugu zetu hawa kama walivyo Watanzania wengine waishio kwenye maeneo mbalimbali duniani, wamekuwa na mchango mkubwa kwa nchi yetu kupitia fedha wanazotuma nchini kusaidia ndugu na jamaa (zaidi ya shilingi trilioni 2.5 kwa mwaka jana), na uwekezaji katika maeneo mbalimbali.
Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup), na kila la kheri katika maandalizi mliyoanza sasa kwa mchezo ujao. Mmeandika historia jalili. Mmetuheshimisha sana. Hamasa yangu inaendelea, na sasa imeongezeka. Kaifanyeni kazi.
Madaktari bingwa , Wauguzi pamoja na wataalam wengine wa MOI wakifanya upasuaji wa mgongo kwa mbinu za kisasa kwa kutumia vifaa maalum na vya kisasa vya ���Neuro-monitoring’ na ‘Neuro- Navigation’. Vifaa hivi vinapelekea matokeo bora ya upasuaji kwa mgonjwa. @ummymwalimu
Tunaungana na Watanzania wote katika kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mw.Julius Kambarage Nyerere, ikiwa miaka 20 imepita sisi MOI tunamuenzi kwa kutoa huduma bora za afya kwa watu wote.@umwalimu @DocFaustine@TZMsemajiMkuu@ElishaOsati@mvungi_patrick
Mwenyekiti wa Bodi mpya ya Wadhamini ya MOI Profesa Charles Mkony leo ameongoza kikao cha kwanza cha bodi hiyo ambapo wajumbe wamepata fursa ya kukutana na menejimenti pamoja na kukagua maeneo ya kutolea huduma na kuweka mikakati kabambe ya kuendelea kuboresha huduma.
Wadau wamekabidhi rasmi chumba maalum cha upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ambacho kimegharimu zaidi ya Tshs Milioni 500. @umwalimu @DocFaustine@wizara_afyatz@Hakingowi@TZMsemajiMkuu
Nimepokea kwa majonzi taarifa ya ajali ya moto mkoani Morogoro iliyopelekea vifo na majeruhi kwa ndugu zetu Watanzania.
Naungana na Watanzania wenzangu kutoa pole na kuwaombea Marehemu wote wapumzike mahali pema peponi. Pia tunawaombea majeruhi wote wapate aheuni mapema.