Madaraka yana mwisho, Vyeo havidumu na Mamlaka sio ya milele. Tenda Haki kwa kila mtu bila ubaguzi huku ukiishi kwa unyenyeveku. Tena daima hakikisha safari yako ya maisha hapa duniani inatawaliwa na matendo yaliyo mema.
@IAMartin_ Walio wengi kwenye vyama vya siasa wameweka malengo binafsi kitu ambacho si sawa wakati wanatakiwa wawe na malengo ya jamii nzima. Well Said MMM