@Rasheed_Atm Hahahahaha ila Rashid ninyi so mnaomkosoa Imam busiri kwenye kaswida burda ninyi juzi mkaanza kuongea kuhusu wasilatu Shafii Kwa maneno yenye kufanana na ulichoandika mkaita shirk
Leo unasema Sina Elimu 😂😂😂 sawa mie Wala sijikumbwishi mwenzetu mwenye elimu
@husseinabui Kaka ukweli binafsi nakwambia haya maswala ni uzembe tu Kila mwaka hoja zile zile lengo Nini?
wakati Waislam ndo tunaongoza wa ufedhuri yaani Ile kawaida ya waishi kitawheed tangia mfike na Dawah yenu feki imekuwa tofauti
@abulhusayn01 Wazee wa Nongwa kwanza Maulid si jambo la masufi Kwa sababu zipo twariqa hazifanyi Maulidi si Dufu Kwa sababu zipo baadhi ya twariqa hawaruhusu hayo.
Maulidi ni ya Waislam na Maulidi si bidaa na hata mkilazimisha iwe hivyo itaingia hapa نِعْمَتِ الْبِدْعَةُ هَذِهِ
@husseinabui Hapo ndo kesi inapoanzia Hadith ya man sana mlisema jambo halikuwa jipya je Maulid ni katika maswala mapya je itakuwaje uzushi ilihali Mtume anayatambua Maulid yake?
@Matallahkhamis@husseinabui Umeikuta utaiacha swala si kukomoana hili swala Kwa Mujibu wa Sheria zetu linaswihi
Amesema Ibn Abbas
وَمَا سَكَتَ عَنْهُ فَهُوَ مِمَّا عَفَا عَنْهُ
@DaimuManafi Kuna msemo wa waswahili unasema pata pesa tujue tabia zako
Sasa bado yule wa Bachwana land mana kule Malawi pia masifa yalimwagwa Kwa pastor kule Senegal pia
Jifunzeni kutokuwa mashabiki analowaza binadamu hata shetani halijui.
@abusumayyah_o Msipotoshe watu asee hakuna katazo mwanamke kuhudhuria maziko ila ni makruh lakini mwanamke pia anaruhusiwa Kuswali swala ya jeneza.
Kinachokataza katika maziko ni Ile mixing na ndo waalimu wetu wakasema Bora zaidi warudi Makaburini mara baada ya kuondoka wanaume.
Ukweli ni kwamba Sisi weusi tumekuwa tukishushiana heshima sana Kwa sababu sisizo na msingi na haya yanafanyika katika ofisi za watu wa private na hata serikalini pia ndipo mdau wangu mmoja aliwahi nambia kaka kanzu waachie waarabu vaa suti.
MAWAZO YANGU.
Zipo dawa za Kubadilisha ngozi kuwa nyeupe kama mzungu ila hakuna dawa kukufanya uwe mweusi tii kama Mimi.
Moja ya kadhia ambayo huwa tunakutana nazo katika mijumuiko ya watu ni watu weusi wenzetu kutudogosha Kwa sababu tu sisi ni weusi na hii niara nyingi nimeona
Nikamwambia hicho kikao ndo sisi na muhusika ni Mimi akasema wahusika ni wahindi si ninyi mie mbavu Sina mpaka akaja meneja wake akamwambia Hawa ndo wahusika nikamfata Kwa lengo la kumsemesha vibaya ila nikamwambia sisi ndo hao wahindi hukunatabasamu akaondoka Kwa haya.