@Nsalflix Inategemeana na malazi unayohitaji kulala either ni ndani au nje ya pori la Serengeti kulingana na quality ya malazi, pia ina depend ni usafiri gani utapenda ukodi kwa hizo siku 3 + weight fee ya gari na individual entry fee ya kibongo au lah + guiding fee au labda watumia GPS