Hii video ndio sababu sitokaa kurudi tena kwenye umbea mpaka haki ipatikane Tz. I feel like nina deni kubwa la kuhakikisha hivi vifo vinapata haki na vinaleta haki kwenye nchi. This video ndio sababu I will never abandon the movement.
Kwa mara ya kwanza leo naposti full clip.
Video ya kwanza ndio original video. Video ya pili ndio video niliowapostia Watanzania, nilikata jina langu. I did this to a number of videos za Arusha. For some reason vijana wengi wa Arusha walikuwa wanasema “Dada Mange ona wanatuua” au “Mtumie Mange Kimambi aone”. Nitaachia na video zingine nilizokata jina langu.
The reason I’m posting this today ni sababu wauwaji wanalipa watu kusema kuwa hawa vijana walilipwa.
@SuluhuSamia kwanini hawa vijana hawakuita jina la waliowalipa waandamane? Instead wanaita jina la dada yao aliewapa elimu ya umuhimu wa kuandamana ili kudai haki kwenye nchi yao?????? Au niliwalipa mimi???
Vijana wa Tanzania naomba mjue, I’m in this fight mpaka haki ipatikane Tz au mpaka siku nakufa…… Hakuna kitu kingine nitafanya kwenye mitandao zaidi ya kudai haki juu ya vifo hivi….
#BREAKING: AMNESTY CONDEMNS DEADLY FORCE AND SECRET REMOVAL OF BODIES IN TANZANIA PROTESTS
Amnesty International has accused Tanzanian security forces of using excessive and lethal force to suppress election protests between 29 October and 3 November 2025, leaving hundreds killed or injured.
The organization says live ammunition and teargas were fired directly at protesters and bystanders, while victims were beaten, denied medical care, and some bodies taken to undisclosed locations amid an internet shutdown.
Secretary General Agnès Callamard described the violence as “shocking and unacceptable,” urging independent and impartial investigations.
Although President Samia Suluhu announced a commission of inquiry on 14 November, civil society groups have questioned its independence.
Amnesty interviewed survivors, eyewitnesses, lawyers, and healthcare workers, and verified dozens of videos and photos documenting the abuses. Tanzanian authorities did not respond to Amnesty’s request for comment.
🧵4: The world needs to keep the spotlight on Tanzania and call for independent, thorough, prompt and impartial investigations into the human rights violations by security forces during election protests.
🔥✊🏽 Ripoti ya @AmnestyEARO@amnesty imetoka na imeandika ukweli WOTE!
Sasa Bi Kizimkazi aka Muaaji In chief ajipange na genge lake ya magaidi! They will never know peace! Hakuna mtu anaweza kushika mkono ulioloa damu
Hakuna maridhiano kwenye mauaji ya kimbari - ni haki na uwajibikaji unaoanza na ukweli!
#SamiaMustGo #D25 #J1