@_gumba1@ItsGregy_ Nope sio surveillance camera, nikiwa Job apo Latema Road kwa shop huwa tunaona vile mapinji huwa wanasnatch simu apo kwa street wakati hawkers wametandika kwa barabara na plus kufungua mavibeti, kila pinji akona street yake yenye yy hukulia so masanse wakipatrol wanawajua pia