@Olekoitumet@fatma_karume Swala ni kutembea na silaha wakati wengine hawaruhusiwi kutembea na silaha Ina wafanya wamasai wajione wao Sheria haziwahisu na ndio maana wanaweza kufanya chochote akiwa na hiyo silaha akiona hajatendewa haki hawajibiki kufuata Sheria bali anajilinda mwenyewe ni sawahii?
@privaldinho Ongea ukweli time Yako haipo hapo acha propaganda za kijinga simba wapo hapo kutokana na juhudi zao na nyie utopolo weka juhudi mtafika huko acha wivu wa kike wewe
90+3' GOOOAL Lamin Jallow anapigilia msumari wa tatu kwa CR Belouizdad dhidi ya Young Africans SC
CR Belouizdad ๐ฉ๐ฟ 3-0 ๐น๐ฟ Yanga SC
#KitengeSports