@tanescoyetutz@JamiiForums Nyie mnafanya hivyo kwa sababu ndo mnatoa huduma ya umeme peke yenu. Mm nmeamia kwenye nyumba hii mwezi uliopita leo nanunua umeme mnaniambia et nadaiwa 12K ya nyuma. This is not serious acha tutumie sora tu.
@OriginoZee17 Ilivyokuwa dhamira ya wakristo wa kipindi kile, hata hivyo wakristo wanaweza kubadilisha sikukuu hiyo na kuweka tarehe yeyote ambayo wanaona inafaa kwa sababu maalumu.
Note: Christmas hatusherekei siku ya kuzaliwa Kristo, tunasherekea kumbukumbu ya kizaliwa kwakeπ
@OriginoZee17 Kiukweli Yesu Kristo hakuzaliwa tarehe 25 December, na hakuna Mtu anayejua kuwa Kristo alizaliwa tarehe ngapi? Zamani tarehe 25 December ilikuwa sikukuu ya kusherekea mungu jua kwan ni siku ambayo jua lilikuwa linaonekana, baada ya ukiristo kuenea, wakristo waliamua kuibadilisha
@OriginoZee17 Kuwa sikukuu ya kuzaliwa Mungu wa kweli ambaye ni Yesu Kristo kwa lengo la kufifisha sikukuu za mungu jua tangia hapo sikukuu hizi zilienea kwa kasi sana ulimwengu na zikawa sikukuu kubwa ulimwenguni hadi kufifisha sikukuu ya mungu jua kama yalivyokuwa malengo ya wakristo wa