@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Sikilizeni ujumbe mzito kwa POLISI WOTE kutoka mtoto wa OCD mstaafu Willy Mwakilatu
Ameongea mambo ya uhalisia kabisa na huwa tunawaasa sana - ishini maisha safi! Siyo wote mna uwezo kama Mafwele kuhamisha familia Sauzi!
Nyie @tanpol jueni kuwa madaraka na cheo ni ya muda tu!
#TutaelewanaTu
๐จ๐ต BREAKING: Elliot Anderson to Manchester City, here we go! Deal in place between clubs for fee worth ยฃ116m.
#MCFC sources confirm agreement now done after talks at final stages as reported last week.
Anderson asked Forest today to go and leave the club. Medical in the US.
๐จ ๐๐ฅ๐๐๐๐๐ก๐: Elliot Anderson expected to join Manchester City on a 5-year contract with the option to extend by 1-year. โ๐ป
His deal could be worth up to ยฃ300k per/week if bonuses are achieved. ๐ท
๐ฐ via @David_Ornstein