Swali liko hivi:
*What would a normal person do?…..Ukae na mwenza mchume mali,then mwisho wa siku mali isiwe yako at least in part?
*Ni dhana ipi au hekima gani inatumika ukiondoa cheti cha ndoa kuamua kuwa hawa ni mke na mume and/or not?
*Kama watu wamekaa kinyumba na imethibiti hivyo,kwa nini hukumu iamue based on common law?
Nadhani ukizingatia.Vidonda vya tumbo sababu zake ni nuanced.
Kuharibika kwa tumbo la chakula husababishwa na mvurugano tunaouweka wenyewe.Kukataza pilipili na baadhi ya vyakula vyenye mafuta bado sio suluhu permanent.
Pia ni muhimu tujuzwe tofauti kati ya:
*Kujaa gesi tumboni na
*Vidonda vya tumbo
Maana tiba zake ni tofauti kabisa!
Boss Carol,Naamini brand yako is too strong such that hizi public scrutiny,lies and any other uzushi ziwe ni chachu zaidi kukuza even a thicker skin.
Kwenye hizi harakati za kujikwamua utakutana na watu na issues worse than hiyo.Nimeona umeombwa msamaha.Nashauri kabla kesi kuungurumishwa,na kama ndugu yetu really means to apologize,aweke a more public apology failure of which……..!
I repeat,public figures na public scrutiny,good or bad,are identical twins.The caveat being it should only be a public life not private.
Tatizo la OCD ni kuwa imejishikiza kwenye tabia za kujirudia kila siku kiasi mtu hudhani kuwa ni kawaida but it’s https://t.co/gDwSxagXG1 wataalam wanaongelea unhealthy behavior
Schizophrenia:A different monster,hasa huja na low brain energy,hasa with age na sometimes our lifestyle.
Definitely Depressed persons are not necessarily displaying the above symptoms.Hapa depression utaona kuna mtu ame:
*Loose hope
*Too much regret and fear
*Ameacha matukio ya nyuma yamtawale katika maisha ya sasa
*Aliyepoteza kitu alichokiona muhimu kwake pia can be under depression
Na watu watiba wanujua.Safari ya recovery huhitaji.
*Level ya juu ya uvumilivu sababu wakati mwingine watu tuko na too many complications kwenye maisha such that tabibu lazima ufungue kila mlango na kutoa tiba yake.
* Upendo wa Hali ya juu sababu si kila mtu anajua magonjwa ya akili
*Mgonjwa kuelewa kuwa sometimes it’s not a disease rather a spectrum so asiogope na awe part of the healing
Exactly the point.Kuna ile sehemu ya ubongo ikitwaa uwezo wa fikra tambuzi za kutofautisha ipi hatari na ipi Amani,hiyo vita ya kiimani ni ngumu https://t.co/ekxLn9zqOb mawazo potofu si eti yanaanza siku moja https://t.co/kqkn0wOQmE series of events
Ukitaka kujua ndugu yetu hata aulizwe ni lini alipata:
*Kulala usingizi about 8 hours in last 30 days.Sana atakwambia anaota mauza uza in the mid of sleeping
*Last time alifikiria mawazo chanya in the last 30 days
*Au kaongea na mtu wa karibu mara ya mwisho lini kuhusu kinamchomsibu
This guy is is also a superstar.Usikute kuna vitu alikuwa akifanya studio nyimbo zina click,kama upepo umebadilika anatakiwa ajue.Kuna wakati uko juu then you fall so fast too deep,but with efforts and hope unarudi juu tena kwa kishindo!
Wakati sehemu ya ubongo inapigwa na depression,ile logic part of the brain inakuwa dysfunctional,ndio maana ni rahisi kutafuta cheap motivator kama.
*Instant gratification.Kutofikiria consequences.Mfano bangi na ulevi huleta furaha ya muda mfupi sana,ndio maana ni rahisi kurudia sababu you will always want more kupata the same dopamine impact
*Sababu ya mawazo kuzidi ubongo hautumi salamu za maana kwenye viungo vingine kama sex organs na tumboni for proper absorption.Kuchoka ubongo kunaweza sababisha sugar and junky food addiction
Ukiwa na depression ni rahisi sana kuwa na visingizio as a coping mechanism.Wengi:
*Husingizia urozi so inakuwa rahisi kuchanganya na mambo ya kiroho na uchawi.
*Part ya ubongo huwa imejaa hofu,lawama na sonona na wakati mungine kujishusha thamani na kupoteza hamu hata ya kula
*Hapo addiction as a coping mechanism ndio huanza kupiga hodi.
@jaznira@MarekaMalili Yaani kuna sehemu viongozi wa dini uchwara hutumia tafsiri feki ya ndoto kupoteza watu.Mtu uko na shida kibao za maisha,kuota unakimbizwa na nyoka au kuzama kwenye maji ni kawaida kabisa…..Sasa kamuhadithie kiongozi wa dini anaejifanya kuwa na elimu ya ndoto.
@MarekaMalili Kabisa;
*Unakosa usingizi kwa sonona -Chronic Depression
*Chakula unashindia junkies na ma energy drinks.Stressed gut stressed brain
*Umejazaa kichwa na hopeless expectations na kupenda mseleleko
*Sometimes tuwe wakweli bangi na vilevi.Halafu tunajificha kwenye dini!