#MBALI_NA_LAANA...
-Baraka ya Bwana inakutenga na laana
-Adui shetani anakosa uhalali wa kukushutumu maana MUNGU ametoa sababu ya Kukusamehe Kwa Njia ya Msalaba wa YESU
Isaya 25:9
Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliyemngoja atusaidie; Huyu ndiye Bwana tuliyemngoja, Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake.
#NINAKUNGOJA_YESU
Zaburi 12:5
Kwa ajili ya kuonewa kwao wanyonge, Kwa ajili ya kuugua kwao wahitaji, Sasa nitasimama, asema Bwana, Nitamweka salama yeye wanayemfyonya.
Omba ukisema:
#BWANA_NIWEKE_SALAMA.
1. Shetani aliagiza kupitia Herode watoto wa kiume wauawe ili ampate YESU na HAIKUWA HIVYO
2. Watu wapatao 40 walijipanga, wakafunga wamuue Mtume Paulo na HAIKUWA HIVYO
ungana nasi MUBASHARA
-Lumen Radio
YouTube:
- KKKT DK Usharika wa KARATU MJINI
- Mkumbo Tv
Ufunuo 19:1
Baada ya hayo nikasikia sauti kama sauti ya makutano mengi, sauti kubwa mbinguni, ikisema, Haleluya; Wokovu na utukufu na nguvu zina Bwana Mungu wetu;
-WOKOVU
-UTUKUFU
-NGUVU
Waefeso 6:8
Mkijua ya kuwa kila neno jema alitendalo mtu atapewa lilo hilo na Bwana kwamba ni mtumwa au kwamba ni huru.
Mtu wa Mungu wa Thamani, Tutafakari vizuri Mstari huo.