Imagine tu Nchimbi kafutwa uanachama kwasababu ya kusema Watanzania piganieni Katiba Mpya hata Nduli Idd Amin Mama anataka Katiba Mpya.
Yani kwa lugha nyepesi ni kwamba Nduli Idd Amin Mama anasema kwamba wale mnaodhan kwamba maridhiano yataleta Katiba Mpya endeleeni kujidanganya ila hakuna cha Katiba Mpya wala Tume huru.
Tunaotaka Katiba Mpya tuipiganie kwa nguvu zetu huku tukimtanguliza Mungu mbele bila ivo Nchi inaenda kuzama mazima shimoni.