@Royal_Tv_Tz Wanachosahau ni kuwa mara baada ya matukio ya tarehe 29 October Pope (Papa) alitoka hadharani akalisemea taifa la Tanzania na akaomba umma wa dini kuiombea ๐น๐ฟ. Iwapo Papa alitoka hadharani akaongea unategemea baraza la Maaskofu ambapo Fr Kitima ni katibu waongee nini?
@ali_mafta@MariaSTsehai@SuluhuSamia Sasa huyu Mange John ni yupi maana kwa mujibu wa Wikipedia inamfahamu Mange Binti wa Jumanne Ramadhani Kimambi. Sasa hata kama mimi sio mtu wa sheria hawa si ni watu wawili tofauti au kama alikana jina la Baba yake na kuchukua la mumewe Mmarekani?
@Royal_Tv_Tz Badala ya kuongea vitu vyenye mantiki na vyenye kuleta suluhisho wameng'ang'ania kuongea uongo na upotoshaji. Eti Tanzania inaonewa wivu, kwa hiyo hao mnaowasema wanawaonea wivu ndio waliwaambia mteke watu, muwape kesi za kubambikizia na kuwaua wengine?
@MariaSTsehai Alishakubali kutumika since alivyomuuza HP coz alisema na alimtaja kuwa atatumika kwenye hayo maridhiano uchwara na HP hakumaliza siku mbili akatekwa na hajaonekana mpaka leo. Kwa hiyo kilichosemwa kimetimia na kuthibitisha kuwa mzee ni msaliti mkubwa kwa Watanganyika!
@LarryMadowo Mimi ni Mtanzania naomba nikuhakikishie kuwa Watanzania walio wengi wanakuombea kwa Mungu. Umetumika na Mwenyezi Mungu kuwa sauti ya wasiokuwa na sauti na utabarikiwa kwa ulichokifanya. Hao wanaokuja na matusi unaona kabisa ni jinsi gani uwezo wao wa kufikiri ulivyo mdogo.
@HildaNewton21 In the meantime hakikisheni kuna plan B ili lolote likitokea basi chama kinakuwa kwenyenmikono salama. Kwa sababu hiyo ni safu nzima ya uongozi wa CDM ukichulia Mwenyekiti na Makamu wake tayari wako ndani.
@millardayo Kwa bahati mbaya sana wamesahau kuwa mkataba walioingia na mwarabu hauruhusu kuendelezwa kwa bandari nyingine yeyote ile. Hapo ndipo ile mikataba ya mzee wa mso*a na wachina inapokuwa inahitaji kutimizwa kwa sababu walimuachia kijana na upande mwingine mwarabu hataki mashindano.
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Ni kwa bahati mbaya sana Watanganyika wameshaelevuka na hawana uoga ambao wanafikiria walikuwa nao miaka 10 iliyopita. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
@VictorLash31118@Addy_Adams Endelea kujifurahisha ila siku hii dhuluma ikipiga hodi mlangoni kwako usiseme haukuambiwa.. kwa sababu hili sio la mmoja, wakimalizana na hao watarudi ndani. Utafurahia mtu kuhukumiwa bila kuwa na kosa unaona ni sawa?
@zittokabwe My dear brother @zittokabwe there're times when keeping quiet is more important than trying to prove to the masses how selfish and sellout you're. In short there's no single Mtanganyika who's doesn't really no your true character. Shame on you!!
@fumbokhanJr Katika sehemu mtu mweupe alitupatia ni kwenye huu ujinga. Tumesahau kuwa sisi ni Waafrika kwanza na msimgi mkuu ni utu badala ya hizi imani ambazo zililetwa ili utawalike kirahisi.
@abutwalha719335@fumbokhanJr Kwa nini ruhusa ipo kwenye kuoa na si kuolewa kwa dada zenu pia? Naelewa mantiki iliyopo nyuma ya pazia ila nataka nikusikie utakachojibu.
@RajabuOthman3@MariaSTsehai Una ufahamu kweli wewe? Nenda katafute ukweli nani ambae ameukaribisha na kusaini kimya kimya kuukubali huo unaousema CDM wana ajenda nao. Tatizo wengi wenu mnafuata mkumbo kiushabiki bila kuwa na ufahamu wa kutosha. Pole sana!!
@HusseinMchomol1@TanzaniaLeaks Sizani kama umefikiria kabla ya kuandika na kupost au umetumia ushabiki tuu ku post ulicho post. Hivi unaelewa maana ya neno uhaini?