Hakikisha unaagalia hii documentary ya kiuchunguzi ya Tundu Lissu ikionyesha alivyoumizwa na familia yake kuteseka!
Kimama kikatili hakina kesi kimekaza fuvu tu!
#FreeTunduLissu
Mnaua watu kwa maelfu, Mnateka watu na kuwapoteza. Mnaiba uchaguzi kwa nguvu..
Alafu mnasema kuna watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali!!!!
Hivi mnawaona Watanzania ni wajinga?
Kwamba Mataifa ya nje ndio yaliwatuma kuiba uchaguzi ambao hamjashinda!!!!
Watu sio sisimizi mmeua lazima muwajibike.
"Samia amesema:
"Heri wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu."
Mathayo 5:9
Hawakumwonyesha;
"Heri wenye njaa na kiu ya haki, maana hao watashibishwa."
Mathayo 5:6 na Mathayo 5:10
"Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki, maana ufalme wa mbinguni ni wao."
Mnyika.
Tundu Lissu: One of Tanzania’s most formidable and influential opposition politicians, whose outspoken politics have made him a major challenge to the country’s ruling establishment.
Watoto hawasikilizi kile unachowaambia, wanaiga kile unachokifanya. Huwezi kuwa unagombana na mkeo/mumeo kila siku mbele ya watoto, alafu ukategemea mtoto wako aje kuwa mwenye adabu. Kabla ya kunyooshea kidole tabia ya mtoto wako, jichunguze kwanza wewe unafanya nini mbele yake.
Hii Chadema ya Lissu na Heche ilicheleweshwa sana kila kiongozi wa Chadema yeyote akiitisha mkutano wa hadhara wananchi wanajaa ile kauli ya Chadema niya Wachagga sijui Mbowe ndiye anafaa yeye tu kuwa mwenyekiti wengine watanunuliwa nayo imekufa
Wenye hela wanatumia nguvu nyingi hela walizonazo zisizonekane. Wasio na hela wanapambana kufa na kupona kuonekana wana hela.
Wenye ‘elimu mbalimbali’ wanakazana kuitwa majina yanayotambulisha elimu wasizonazo. Wenye elimu wenyewe hawajitambulishi na majina yanayotambulisha elimu zao.
Identity crisis—ukiukosa utambulisho unaoanzia ndani yako utateseka na mahangaiko mengi yasiyoziba ombwe lisilozibika.
Usiruhusu hasira ya dakika moja ivue nguo utu wako wa miaka mingi. Kugombana mbele za watu ni kuwapa wengine burudani kwa maumivu yenu wenyewe. Linda heshima yako, chagua ukimya hadharani na maliza tofauti zako faragha 📌✍🏾🤝
“Kama dini yako inakufundisha kusubiri haki katika maisha yajayo, huku ukikubali dhuluma katika maisha haya, basi unapaswa kujiuliza ni nani hasa anafaidika na imani hiyo. Imani ya kweli inapaswa kumwamsha mtu, si kumfanya alale."
Malcom X