PAPA ALIYEHUKUMIWA AKIWA KAFA KAOZA :CADAVER SYNOD
Mwaka 897, Papa Stephen VI alimshtaki mtangulizi wake, Papa Formosus. Mwili wake uliokuwa unaoza ulichukuliwa kutoka kaburini, ukavishwa mavazi ya kipapa, ukawekwa kwenye kiti cha enzi cha papa, na kushtakiwa akiwa marehemu.
Unaweza ukadhani ni hadithi ya kubuni, lakini hii ni moja ya matukio ya kutisha na ya ajabu kabisa katika historia ya Kanisa katoliki.
THREAD ๐งต๐งต
@OriginoZee17 Siku hizi jamii ya hawa watu wamefanya kama kitegauchumi cha kuvuna views kwenye mitandao ya kijamii na hii video ni mojawapo ya biashara zao
@airtel_tanzania application yenu ya #Airtelmony inasumbua sana, kibaya zaidi hufunguka tu ukiwa na bundle la internet ya Airtel tu. Sio kwa namna nyingine.