Every situation in life is temporary. So when life is good make sure you enjoy and receive it fully. And when life is not so good remember that it will not last forever and better days are on the way
Dereva gani wa sauli yuko hapo ? Unapotosha watu 😂😂 boss aliwafata wanyama wa T327 EKE & T329 EKE pale katarama tunduma dar wakachomoa ( Titto gadau, Goodluck mwinuka & Tege ) 😂 kaenda kumchukua Gibbo shigaka kule @Kangaboy_@TBoundBuses
Nimepenyezewa taarifa hapa Nyasa Luxury hapo Dar es salaam - Mbeya hashikiki. Unaambiwa hizo chuma ni Luxury lakini usalama, mapigo na mwendo🙌.
Utawakuta madereva wa Sauli humo ndani. Nasikia jana imetoka ya mwisho Dar lakini Uyole ilikuwa mbele kama Tai.
Ninawahurumia EBR😀.
This happened in Mji Mwema, Mwanza. These boys where at a local cafe( kibanda Umiza) watching TV, when Samia Suluhu’s goons came, ordered them to come out and lay down. They all complied. Soon as they complied they were all shot. They were not protesting. This was about the protests it was about getting total surrender and obedience from the people of Tanzania’s
Uadilifu ni nguzo ya amani, na kuheshimu uhai ni msingi wa ubinadamu. Dhulma dhidi ya uhai ni dosari kubwa kwa maadili ya Dini na Utu wa mwanadamu. Tuwe viongozi wa haki, walinzi wa uhai, na wabeba amani inayochipua kutokana na huruma, hekima, na uadilifu wa kweli.
“Hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha uadilifu, na ihsani, na kuwapa jamaa haki zao; na anakataza mambo machafu, na maovu, na dhulma.”
(Qur’an 16:90)
Ukimya, upole, huruma na ustaarabu sio udhaifu. Ni nguvu ya ndani, hekima na ukomavu wa nafsi. Udhaifu wa kweli ni kushindwa kujidhibiti na kuheshimu wengine.
No one truly knows why they are alive until they discover what they would die for. Life can feel like a long, aimless journey when we chase fleeting pleasures, social approval, or routine comfort.
But there comes a moment sometimes quiet, sometimes shocking when we confront the essence of what matters most.
It’s not about what makes us happy in the short term, or what brings us recognition, but the values, people, or causes that give our existence meaning.
Mambo mengi yametokea ambayo sikuwaza kama yangetokea, nimefanya vitu ambavyo niliwahi kuapa sitokuja kufanya kamwe that's why I will never judge anyone for their choices or their mistakes. Life has no manual. We are all doing the best we can and learning a lot along the way!
Kifo humfika mtu yeyote na wakati wowote. Basi ishi maisha yako kama leo ndio mwisho wa uhai wako, hiyo itakusaidia kuishi na watu kwa wema na uadilifu. Dunia ni pambo tu lenye kupoteza halafu la muda mfupi. Basi yasikufanye yale yanayoihusu Dunia ukapoteza utu wako.
Hakuna kitu kinachotokea bahati mbaya au ghafla. Kila jambo lina maandalizi yake ambayo mengine yako dhahiri au ya siri. Hapewi mtu sahani ya chakula bure.