@AlphaxWaKwanza 2021 tupo Tabora Msange Jkt, ile kutuamsha alfajir saa 10 afande mmoja alokuwa akiitwa Senzige alikuwa akipita maanga yetu na redio yake akiplay huo wimbo. Dah Leo kesho uwa si usahau umebeba kumbukumbu nyingi
@Uchebe01@edwini_77@EsirEid Kasome historia vzr wahiraki na wamburu ni watu kutoka wapi. Hata kabla ya kusoma historia tafuta picha za watu wa Ethiopia waangalie na watazame watu wa Singida na manyara tena zama kwenye historia sasa. Weka ujuaji kando soma historia makabila mengi Tz yana asili na chimbuko
@edwini_77@EsirEid Home boy pita pita Manyara na singida apo utaweza tengua hiyo kauli. Manyara na singida ni watu wenye asili ya Ethiopia na Somalia kwa mbali hivyo sio kila mwenye muonekano huo ni Mnyarwanda. Ila kama anatokea kanda ya ziwa asilimia 100 anaweza kuwa Mnyarwanda
No words can explain this pain ๐๐ญ, Allah awatie nguvu wote walo wapoteza mama zao na awape subira, na awape umri mrefu wazazi wetu walio hai mpaka sasa in sha Allah.
The same qualification that gave you a job is the same qualification that sameone has but they're unemployed. The same road you use everyday, it's the same that killed many people. Be humble. It is by Grace โค
@iaamblesser True ๐ญ mfano hapa kigamboni napo ishi kuna mama alinunua kiwanja akajenga nyumba safi tu akaimaliza madirisha,milango ni bado tu ndani kufanya finishing. Akafariki na ameacha mtoto ana miezi 7 tu. Na hii nyumba ndg zake hawaijui isipo kuwa kaka ake 1 tu ๐ญ
@Mathiaskyoma@PresenterNoah Asanteh kwakunikumbusha kitambo sana mara ya mwisho kutoka Ngara ilikuwa 2009 nikiwa na miaka 8, tulikuwa tukiishi rusumo mpakani pale mwa Tz na Rwanda toka hapo sijawahi rudi ila nasikia kulibadilika sana. Tuliisikiliz sana redio kwizera