@shunu7015@atienomyname@MayengoDr Zinaungua vizuri tu hukut kitu ila zaidi kama unaweza tupa kwanza uchafu wa mtt chooni toka kwa diaper itakua vizuri zaidi,mana hapo diaper zote zitakua na mkojo tu wa mtt
Ila zinawaka vizuri tu
@EliabuDanford Ni kitu chema na wakristo wengi tujifunze kufanya hilo kwenye ofisi au kampuni zetu..ukienda kwa wahind au kama umewah fanya kazi na wahindi wana eneo maalumu walikoweka mungu wao anaefungua ofisi mara nyingi hua ni wao lazima aanzie uko.