everyone doesnโt get the same version of me some might tell you I'm a good person & the other tell you I ain't shit..believe them both..I act accordingly .๐
Nimewapokea Profesa Said Shebe Aboud, Mkurugenzi Mkuu wa @NIMR_Tanzania na Dkt. Winfrida Benedict Kidima, Mkurugenzi Msaidizi wa Tiba Asili @wizara_afyatz waliofika Ubalozini kusaidini kitabu cha wageni na kuwa na mkutano wa maandalizi ya ushiriki wao katika ziara ya mafunzo kwa mwaliko wa Taasisi ya Tiba Asili ya Korea (NIKOM).
Korea Kusini wamepiga hatua kubwa kwenye sekta ya Dawa za Asili. Soko la Madawa Asili la Korea linakadiriwa kuwa na thamani ya Dola za Kimarekani Bilioni 11. Dawa Asili hutumika sambamba na Dawa Mamboleo katika hospitali za Korea.
Tanzania ina utajiri mkubwa wa miti na mimea ya dawa za asili ambapo inakadiriwa kuwepo aina zaidi ya mimea 1,200 ya dawa. Kwa sasa utoaji wa dawa asili katika mfumo rasmi wa afya umeanza kwa majaribio katika hospitali za rufaa 7 nchini, na dawa aina 22 zimethibitishwa na kuanza majaribio.
"Sote tunazo ndani yetu mbegu za wema na ubaya, chuki na upendo, utu na unyama. Matokeo ya hulka zetu hutegemea tu mbegu ipi tunaistawisha."
@tonytogolani