Imagine the police shielding Sheikh Mwaipopo, who has announced plans to form his own army to attack civiliansโฆ isnโt that outright public rebellion?
Honestly, this country has lost its head.
@jaypol217@dullah_abuu Hamna kauli siipendi kama mtu amkanye mtu kwakutumia huo usemi wa โ HUYU/MIMI SI KAMA MAMA YAKO โ
Yaani kisa umri tu !? Kila mwanamke anakuwa mama yako !?
We mwambie si heshima kuongea hvyo kwa mtu yeyote hata kama si mama yake.
Mwanamke anaweza ambiwa
na mume wake asivae aina fulani ya nguo
kama Jeans/Vimini/Nguo zenye mipasuo mikubwaโฆ..
avae nguo ndefu zenye stara!
Mwanamke atakataa, tena anaweza mjibu mume wakeโฆ..mimi navaa kile mwili wangu unataka kuvaa.
Katazo hilo hilo mwanamke ataambiwa na boss wake kazini na mwanamke atamtii boss wake.
Na hata kama hana hizo nguo ndefu za stara, mwanamke atatoa hela yake ya mfukoni na kwenda kununua ili asimkwaze boss wake.
Boss >>>>>>Mume ๐ค