WATU WAWILI WATHIBIKA KUWA NA UGONJWA WA MPOX NCHINI
Watu wawili (2) wamethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox nchini Tanzania.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama kwenye taarifa kwa umma aliyoitoa leo Machi 10, 2025.
Justin Bieber hatimaye ameuvunja ukimya huku mashabiki wake wakizidi kuwa na wasiwasi kuhusu hali yake ya kiafya.
Mwimbaji wa wimbo Baby, mwenye umri wa miaka 31, alishare ujumbe wa kuhuzunisha alikiri kuhisi “kama tapeli” na “kutostahili” katika siku nyingi za maisha yake.
GLOBAL AMBASSADOR of AFRICAN TOURISM BOARD:
With utmost enthusiasm, the African Tourism Board proudly introduces its esteemed GLOBAL AMBASSADOR, poised to embark on a journey dedicated to fulfilling the comprehensive tourism agenda of the organisation on a global scale.
@BECKS_255 @BarakaSaimon3 Yakobo 1:27
Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.
Upendo ni tunda la roho.
Umepata kazi, umeolewa/umeoa mapema, umebahatika kupata mtoto, haimaanishi kuwa wewe ni mjanja zaidi bali Mungu kaamua kukufungulia Mapema milango yako ya Baraka, acha kujiona kama umeshafika na kuwaona wengine ambao hawana ulivyonavyo kama ni wazembe au hawana akili!