@George_Ambangil Arsenal walichukua game yote na kufanya wanavyotaka walikuwa wakwanza kwenye kila second balls they both track back and rotating, Chelsea ni kama walikuwa wanasubiri mpinzani atamfanya nini daaah Arteta kawanywesha maji ya bendera vijana wake wata coach wata maplayer.πππ