@RahmaMwita Na umeruhusu kabisa na hizi habari za wadada kuchinja watoto na unaishi na mwanao humo humo🙄 Ataenda wafata kwao ndugu zake ila si kwangu kwa hali ya sasa labda aje ndugu wa kutembea na kuondoka tena nikiwepo🙌
@spana_Konki Yaani unakuta umetumiwa ya ada za watoto, kodi ya nyumba, chakula na mengineyo ila unakuja kuflex humu watu wanaamini ni yako yote ya matumizi binafsi🤣🤣
@IAMartin_@tanpol Lile lilosimama kule mbona sura yake halijaoneshwa vizuri maana ndo lilikua linasema ikifika zamu yake ye anataka m**v** tu kumanyoko zake natamani ye ndo msura wake ungesambaa kuliko wote yaan alikua so proud na wanachofanya
@mhdhamad Asimpe tu nyonyo, Mimi nilitafuta vimajani vikavu nje navibandika na gundi natisha dudu dudu kila akija na wanaogopa, hii ya kupeleka sijui mtoto akakae na bibi sipendi, mtoto ake na mama ake kama hakuna shida kubwa.pia ampe vinywaji vingine kam juice fresh, maziwa