Ancelotti’s Champ-matic
Track list
1. Grow Some Hair (Guardiola Diss)
2. We don’t speak English
3. Who’s The Farmer?
4. Stop Crying, Play Ball
5. You Can’t Buy Trophies
6. Football Heritage (ft Mourinho)
7. You-See-Ls (ft Zidane)
8. Beamer,Benzema,Bentleys
9. Keep it Real
Mkuu wa Mkoa Shinyanga Bi. Sophia Mjema akiapa kulinda kanuni ,Sheria na katiba! Mkuu wa Mkoa Shinyanga akipinga kufuatwa kwa Sheria , Kanuni na Katiba. Maneno ya RC Mjema ni hatari na maagizo yake ya kusimamisha maafisa manunuzi yanaweza kuinyima Nchi mikopo Siku za usoni
Vyakula vya barabarani vyaweza kuwa vitamu LAKINI havikupikwa ili kuupa mwili afya na siha njema. Wapishi wa barabarani ni wajanja: hupika ili kivutie na kiburudishe, siyo ili kirutubishe. Chakula chenye afya ni kile cha nyumbani. Ni kile cha ndani ya familia.
Ukipewa kikubwa shukuru sana. Ukipewa kidogo shukuru zaidi. Hicho ukionacho kidogo, chaweza kuwa ndio kikubwa kutoka kwa mtoaji. Hicho kidogo chaweza pia kuwa kipimo cha kuujaribu moyo wako wa shukrani na uungwana wako.
Maisha ya binadamu ni kama nguo, kama hukukatwa, basi ulishonwa, ukiepuka hilo japo utafungiwa fundo, kukunjwa ama kupigwa pasi. Tuko wa aina, ukubwa na rangi tofauti kwa mahitaji tofauti. Kila umuonaye ana majeraha na maumivu yake nyuma ya muonekano wake. Hakuna aliyenusurika!
"My deepest condolences to the family of the late President Magufuli & the entire Tanzania Nation. Magufuli was a steadfast Pan-African & a friend to our country. We stand in solidarity with Tanzania & President Samia Suluhu in this difficult moment"~President Kagame #RIPMagufuli
Binaadam kaumbwa dhaifu na kapewa uhai mfupi. Kapewa "sahau" na kutunukiwa neema. Neema mwanahadaa, humjaza kibri na madhaifu lukuki. Akasahau kila lenye mwanzo daima lina mwisho. Ubora wa muungwana humlazimu kuzingatia, dunia ni mapito na akhera ndo maskani. #KSK_Balozi