Suala linalohusu na/au kuhatarisha maisha ya watu lazima tulipe umakini stahiki.
Propaganda ya waandamanaji kulipwa na Ford Foundation ni uongo wenye hatari.
Ulikuwa mkakati wa dola kujisafisha dhidi ya mauwaji.
Madenge, kwa kujua, alitumika kusambaza propaganda hiyo.
🧵🧵
#TajiriLaKihaya
Ni Ukweli Usiopingika kwamba WANAHARAKATI WANALIPWA….
hasa waliopo Nje ya nchi kwa huku kwetu na kuna foundations kibao tu za HUMAN RIGHTS ACTIVISTS karibu kila Nchi duniani kote….
ila Kwa yaliotokea Oct 29. haikuhusiana na Malipo haya wala msukumo wa wanaharakati…
Wananchi wenyewe tu walichoka… kuna raia waliandamana hata hawana SmartPhone… wengine hawapo hata mitandaoni…
Yaliotokea ni matunda ya Udhalimu wa Viongozi wetu….
Huwezi zuia chama kikuu cha Upinzani chama kinachoPendwa zaidi Tanzania nzima- KUTOSHIRIKI UCHAGUZI MKUU…
Umfunge Mgombea Urais wa Chama…anaependwa zaidi na Vijana…
Alafu u expect ZERO REACTION… HAIWEZEKANI!
Tusijifiche kwenye malipo ya FORD FOUNDATION…
Hawajaanza leo kulipwa… wanalipwa toka enzi… kila mtu analifaham hili… wanalipiwa RENT, CHAKULA na UPKEEP ZOTE na hata Kutoa Elimu, yale ma space nk. Ni kazi kama kazi zingine tu. Wengine wanaotaka kuongeza Elimu… wanapewa ufadhili!
Hili lipo wazi… na sijui kwa nn WANAHARAKATI wanalificha hili,hawataki lijulikane!
Ila haihusiani kivyovyote vile na yaliotokea Oct 29th.
Tuliweke hili sawa!
#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
So many people defending INEOS and it’s actually hilarious.
- Liverpool finished 1st and signed 6 players.
- Arsenal finished 2nd and signed 7.
- City finished 3rd and signed 8.
- United finished 15th… and signed 4.
The best teams constantly bring in quality players. Only United fans seem to think that once you sign someone for a position, that’s it... you can’t improve on it anymore.
The way INEOS have convinced people to accept mediocrity is honestly ridiculous. With UCL money, if they don’t bring in at least 6 players, they’re not serious about being successful.
1/2
Habari Familia, Mungu ni Mwema baada ya Kuchukuliwa na watu nisiowafahamu Jmosi Asubuhi, niliachiwa kwa dhamana juzi jioni. Shukrani sana kwenu kwa kupiga kelele, kuniombea hata na kupambania kwa kila namna. Hata wale tuliotofautiana kwenye football, Music na itikeli zingine.
“Hakuna anayeweza kukiua Chadema, hakuna chama cha upinzani zaidi ya Chadema ununu usinune, upende usipende, vingine vyote ni Vyama vya kwenye Flash” YERICKO NYERERE - ENZI ZAKE AKIWA CHADEMA
Today isn't just about GasFasta or a new mobile app. It's about aligning with the broader objectives of our nation, creating tangible impacts at the grassroots level and progressing towards a future where every Tanzanian enjoys the benefits of clean cooking energy. #GesiKiganjani
Mgeni Rasmi Mh.Patrobas Katambi (MB) - Naibu Waziri OWM - Vijana akifuatilia kwa makini uzinduzi huu wa Gas Fasta na Vodacom M-Pesa.Wenye lengo la kuhakikisha wananchi wanapata #GesiKiganjani.
@FastaGas@VodacomTanzania@albeiti91
Mgeni Rasmi Mh. Patrobas Katambi (MB) - Naibu Waziri OWM - Vijana akifuatilia kwa makini uzinduzi huu wa Gas Fasta na Vodacom M-Pesa. Wenye lengo la kuhakikisha wananchi wanapata #GesiKiganjani.
@FastaGas@VodacomTanzania@albeiti91