ZANZIBAR TRANSFER UPDATES
Beki wa kulia wa timu ya Mlandege fc ya Zanzibar Abdallah Lanso yupo mbioni kujiunga na timu ya Yanga
Lanso alikua miongoni mwa top performers wa mabingwa wa kombe la mapinduzi mwaka huu 2023.
@YangaSCEnglish
@YoungAfricansSC#Rutte#TheErasTour