Tunauza kwa bei za jumla na rejareja: Dry jumla kwa tshs 8000/= na rejareja 9,000 na kwa sweet jumla unapata kwa Tsh 10,000 na rejareja kwa 11,000 tuu. kwa wakazi wa dar tunafanya delivery na mikoani tunatuma# piga/sms/ whatsup# 0755248488.
Ni wine iliyotengenezwa kwa kutumia Rossela. Ina faida nyingi sana kiafya, ikiwemo kutibu tatizo la presha, kusaidia ufanyaji kazi katika mfumo wa mmengโenyo wa chakula na faida zingine nyingi.
Lakini pia unaweza kuitumia katika kuongeza ladha kwenye chakula chako. Karibu sana!