@AllyMpanyach@Theobad19@prossoff unajiitaje unaakili na umeshindwa pata hela,akili ipi sasa unayo? Akili ni kuweza kuona fursa na kuleta suluhu ulipwe pes nyingi. Kama umeshindwa ilo wewe huna akili. Labda unakumbukumbu tu za kujua namna yakurudi unapojiegesha.