Huge WSJ reporting breaking down Kristi Noem's DHS corruption and the role Corey Lewandowski played. Here's the gist:
• Kristi Noem installed Corey Lewandowski at DHS as a “special government employee.”
• Noem asserted control of DHS contracts over $100,000. Lewandowski signed off on big contracts before she approved.
• While acting as a contract approver, WSJ reports Lewandowski pitched Qatar and the UAE on hiring him on the side to help with matters under DHS’s authority, like visas.
• DHS’s IG is investigating potential contracting improprieties. Dems are also investigating allegations Lewandowski wanted kickbacks from government contractors.
• Lewandowski has reportedly told he expects Trump to pardon him.
https://t.co/pVbUHxND6m
"Ukiwa kijana unatakiwa kuzingatia haya;Usiwe na pupa,kuwa mnyenyekevu,jinoe katika stadi walau moja uimudu vizuri,jitolee zaidi ili upate kujifunza, jenga mtandao,zingatia ibada, jifunze nidhamu ya maisha na pesa na heshimu kanuni ya wakati,wakati wako wa kuchanua utafika."
𝗚𝗔𝗠𝗘 𝗖𝗛𝗔𝗡𝗚𝗘𝗥
𝗙𝗶𝗿𝘀𝘁 𝘁𝘂𝗿𝗯𝗶𝗻𝗲 𝗮𝘁 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮'𝘀 𝗴𝗶𝗮𝗻𝘁 𝟮,𝟭𝟭𝟱𝗠𝗪 𝗽𝗼𝘄𝗲𝗿 𝗽𝗹𝗮𝗻𝘁 𝘁𝗼 𝗯𝗲 𝘀𝘄𝗶𝘁𝗰𝗵𝗲𝗱 𝗼𝗻 𝗻𝗲𝘅𝘁 𝗺𝗼𝗻𝘁𝗵
* Massive JNHPP dam has a total of 9 turbines, each with 235 megawats of power
* Second turbine expected to come to life in April next year
* Government hopes to end power shortages by mid 2024
December 20, 2023
𝑩𝒚 𝑻𝑩𝑰 𝑹𝒆𝒑𝒐𝒓𝒕𝒆𝒓
Dar es Salaam
The first turbine at the 2,115-megawatt Julius Nyerere Hydropower Plant Project (JNHPP) will be switched on next month, bringing Tanzania closer to realising it's dream of ending erratic power supply and becoming an electricity exporter.
If the giant power plant performs as expected, it has the potential of becoming a real game changer in Tanzania's economy by single-handedly fixing the country's recurring energy shortages with cheap, ample electricity.
JNHPP has a total of nine turbines, each with the capacity to generate 235MW of power.
The first turbine will start generating electricity in January 2024, while a second turbine will come to life in April, President Samia Suluhu Hassan told Tanzania's electricity-starved manufacturers over the weekend.
This means that JNHPP could supply a total of 470 megawatts of electricity to the national grid over the next four months with the two turbines, potentially bringing an end to the unreliable power situation in the country.
Tanzania currently has installed power capacity of 𝟭,𝟵𝟬𝟬 𝗺𝗲𝗴𝗮𝘄𝗮𝘁𝘁𝘀, while peak demand stands at 𝟭,𝟰𝟬𝟬 𝗺𝗲𝗴𝗮𝘄𝗮𝘁𝘁𝘀.
The 𝟮,𝟭𝟭𝟱-𝗺𝗲𝗴𝗮𝘄𝗮𝘁𝘁 hydropower project at Rufiji is expected to more than double the country's installed capacity and produce excess electricity for export when all the nine turbines are switched on.
President Samia assured manufacturers that the country's historic power shortages will be relegated to history by mid next year, thanks to JNHPP and other projects under development, including natural gas-fired plants and solar power.
The government signed a contract with Egypt's Arab Contractors and El-Sewedy Electric in 2018 to build the country's biggest power plant at a cost of close to $3 billion.
Deputy Prime Minister and Energy Minister Doto Biteko said in September that construction of the mega project had reached 91.7 percent.
The JNHPP project, which is located in a UNESCO-protected national park, was on the drawing boards for decades, but failed to take off due to a lack of financial resources and environmental concerns, until former President John Magufuli came to office in late 2015 and pushed through the project.
President Samia expedited construction work at JNHPP after coming to power in March 2021 and is keen to complete the project early next year.
Nimefurahia ubunifu uliofanywa na CAST wa kutumia teknolojia ya Micro Plasma na Oxygen kutunza vyakula hasa matunda na kusafisha maji. Teknolojia yao isiyotumia kemikali inawezesha wakulima wa parachichi na matunda kukabiliana na kuoza kwa mazao kunako wasababishia hasara.
Bw. Min Hwan Kim, Afisa Mtendaji Mkuu wa CAST amenijulisha kuwa wameshirikiana na @taha_tanzania kwenye utafiti, na wanatarajia kufungua kituo chao Arusha, na baadae mikoa ya nyanda za juu kusini.
"Ishi vizuri na watu, zungumza na watu wengi, jisomee maudhui mbalimbali, sikiliza kadri unavyoweza, fungua pazia na ikibidi vunja kuta za imani,dini, jinsia,kabila na mbari (race) ili kujifunza mengi usiyoyajua na kuthamini unayoyajua.Kuna mengi ya kujifunza kwa usiofanana nao."
📍Dar es Salaam
Waziri was Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba ameainisha mafanikio yaliyopatikana kwa Taifa kutokana na utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje yenye msisitizo katika Diplomasia ya Uchumi kuwa ni pamoja na kuimarika kwa ushirikiano baina ya Tanzania na nchi nyingine.
Mhe. Makamba ameanisha mafanikio hayo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba 2023 wakati akitoa Tathmini ya Mafanikio ya Wizara katika Kueneza, Kukuza na Kupanua Diplomasia ya Tanzania Kimataifa kwa mwaka 2023 pamoja na kutoa Mwelekeo na Matarajio ya Wizara kwa Mwaka 2024.
Mhe. Makamba amesema kuwa, Diplomasia ya Tanzania chini ya uongozi imara wa Mwanadiplomasia namba moja, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuimarika katika nyanja mbalimbali ambapo kupitia uratibu wa Wizara na kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, Tanzania katika kipindi cha mwaka 2023 imefanikiwa kuimarisha uhusiano ya uwili, kukuza biashara na uwekezaji, kuongeza ushawishi wa Tanzania katika masuala mtambuka yanayohitaji ushirikiano wa kimataifa, kutafuta fedha kwa ajili ya kugharamia miradi ya kimkakati na kuongezeka kwa watalii.
Akifafanua kuhusu kuimarika kwa ushirikiano wa uwili kati ya Tanzania na nchi mbalimbali duniani na mashirika ya kimataifa, Mhe. Makamba amesema kupitia ziara mbalimbali zilizofanywa na Mhe. Rais Dkt. Samia, Viongozi Wakuu Serikalini na zile zilizofanywa na Marais na Wakuu wa Mashirika kutoka nje ya nchi hapa nchini zimeiwezesha Tanzania kunufaika kiuchumi kwa kuimarika zaidi kwa ushirikiano na nchi hizo pamoja na mashirika ya kikanda na kimataifa.
📸:W/Mambo ya Nje
🤝 PARTNERSHIP:
Smart collaboration to promote health equity in Dar
Yesterday, a powerful collaboration was forged between the Dar Es Salaam Regional Secretariat, @ifakarahealth, and the Korea Foundation for International Healthcare (KOFIH) 🇰🇷. This partnership will conduct a vital situational analysis for the Health Equity Promotion Project in Dar es Salaam, Tanzania. 🇹🇿
🎯The goal? To understand the health disparities among marginalized communities in the city, focusing on factors such as access to healthcare, education, and socio-economic determinants of health. 🏥
>> https://t.co/5rNLgkRdCC
>> #IFAKARAevents
"Kujishusha si gharama, wala hakumaanishi kuwa thamani yako imepungua; bali hung’arisha kiwango chako cha ustaarabu kwa wengine na kupunguza mashindano. Upigapo hatua yoyote, usijikweze, usiwatupe watu, endelea kuwa na staha na heshima kwa wote." ~Togolani Mavura.
Pongezi nyingi kwa Mheshimiwa Rais @DrHmwinyi kwa dira ya kujenga uchumi wa Utalii wa Mikutano. Pongezi pia kwa Mheshimiwa Waziri @omarshaaban80 kwa usimamizi na ufuatiliaji wa karibu.
https://t.co/vdh9QmkCxz
#MAWASILIANO: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Tanzania imefanikiwa kupata nafasi katika 'Obiti' ambayo ni Nyuzi 16W itakayowezesha Matumizi ya Eneo la Anga Kidigitali ikiwemo urushaji wa Satelaiti
Inaelezwa kuwa endapo Urushaji wa Satelaiti utafanyika, Tanzania itaongeza uwanda wa Upatikanaji wa Taarifa Muhimu zinazoweza kusaidia Sekta za Mawasiliano, Kilimo, Masuala ya Hali ya Hewa na TabiaNchi, na Teknolojia Mpya kuhusu Anga na n.k
Mataifa mengine kutoka Afrika ambayo tayari yamefanikiwa kurusha Satelaiti zake ni Afrika Kusini, Algeria, Nigeria, Morocco, Ghana, Kenya, Rwanda na Mauritius
Soma https://t.co/NMK7IlZJBL
#JamiiForums #DigitalRights #Accountability #Governance #JFDigitali #DigitalWorld