JOHN MNYIKA KAMALIZA KESI YA LISSU KWA MANENO CHINI YA 50
Katibu Mkuu John Mnyika ametumika ku-crack open na ku-summarize utetezi wote wa case ya uhaini dhidi ya M’kiti @TunduALissu kwa maneno chini ya 50.
Tundu Lissu: Umesema ni mashitaka ya uongo. Waeleze Majaji kwanini?
Mnyika @jjmnyika: Umetuhumiwa kwa uhaini kwa kusema maneno ya kawaida ya kisiasa. Wanasema uliitisha mkutano wakati hukuitisha wewe niliitisha mimi pamoja na sekretarieti. Unatuhumiwa kwa kuchapisha maneno hayo, wakati hukuyachapisha wewe, yaliyochapishwa yalichapishwa na waandishi wa habari.
Unatuhumiwa kuwa na nia ya kutenda kosa hilo, wakati ulichokifanya ni kutekeleza maazimio ya vikao halali vya Chama. Na swali linabaki: kwa nini utuhumiwe wewe peke yako, na si viongozi wengine waliokuwa sehemu ya maamuzi hayo?
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo #TanzaniaMassacre
Nimefanya research, kuna kitu nina ki-experience sana sasahivi.
Wengi tulipokuwa wadogo miaka ya nyuma hatukuwa tunajihusisha sana na issue za siasa.
Utakumbuka enzi hizo wakati mpinzani mkuu ni CUF, mbogamboga na gavoo yake walikuwa wanatuambia sana kuwa CUF ni chama cha vurugu na cha magaidi….kwakuwa hatukuwa tunafuatilia sana siasa kuna namna hizo kauli zilituingia na wengi tukawa tunaamini na tunaiona hivyo CUF…..tuliwaona kama ni chama fulani cha fujo fujo!! Ilikuwa tukimtazama Maalim Seif & Lipumba tukisikia ile tone yao tunaona ni watu wa mafujo fujo na vurugu.
Hatukuwapa sikio kusikiliza hoja na agenda zao!!
Tulipoanza kufuatilia siasa, na kuwapa sikio, tukagundua kumbe ni propaganda tu zile za mbogamboga!!
Hawakuwa na fujo wala vurugu yoyote, walikuwa sawa kwenye mengi sana!! Ni utoto tu na kutofatilia siasa!!
Sasa leo pia wapo watoto na wasiofuatilia siasa wanaiona CDM ni kama chama cha fujo na vurugu, baada ya kuaminishwa kauli hizo hizo na vegetables!! Yaleyaleee ya sisi enzi zetu!!
Na wanaamini kabisa CDM ni chama cha magaidi na fujo!!
Pengine wakisikia tone ya TAL/Heche/Lema wanaona hawa ni watu wa fujo fujo na vurugu……na kwakuwa siasa sio mambo yao basi hawawapi sikio kusikia nini wanazungumza!!
Kuna haja kubwa sana ya kubadilisha hii mindset
‼️🚨KUMEWAKA CCM 😁 MKURUGENZI KAKIRI WALITIKI WAO SI WANANCHI🚨‼️
Ni hivi Mkurugenzi wa Jiji la Arusha John Kayombo alitoa kauli kwamba
hakuna Diwani, Mbunge wala Rais aliyechaguliwa na wananchi isipokuwa yeye na Wataalam wake ndio WALITIKI kwa niaba ya wananchi na hivyo kuwataka Madiwani wamheshimu kwa kuwawekea madarakani.
Sasa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Arusha walichachamaa na kutaka kiitishwe kikao maalum ili kujadili kauli hiyo tata ya Mkurugenzi wa Jiji.
Bashite anahaha - aliwapigia simu na kugawa 50,000 kwa kila Mjumbe lakini haikuweza kuwatuliza wajumbe hao.
Kumbe @SuluhuSamia unashukuru kura za wakurugenzi? 🤣🤣 Siri imevuja sasa wote mjiuzulu! 🚮
#SamiaMustGo #TutaelewanaTu
Mkurungenzi wa Halmashauri kasema ukweli ambao Dunia yote inajua, angalau katusaidia kuthibitisha kwamba ni kweli Maccm hayakupigiwa kura maana wote tunajua Oktoba 29, 2025 hakukuwa na Uchaguzi.
#DutyToAnalyse 🔬
#Jasusi amefanya uvuvi-kina #deepdive kuhusu jinsi huyo SHEHE UBWABWA anavyotumiwa na SAMIA sio tu kuhujumu maandamano ya 7/7 bali pia kuendeleza ajenda ya udini ambayo imekuwa silaha muhimu kwa muuaji huyo.
Makala ipo https://t.co/gaxg3MdyMY. Kama lugha haipandi, kopi link kisha paste Google Translate, chagua English to Swahili. Enjoy ☺️
Lakini Watanganyika mnaumizwa kwa kukosa maarifa. Hivi huyo shehe ubwabwa analindwa kama Abduli au Mafwele? Ifike mahala nanyi muwapelekee moto watesi wenu.
Waingereza wanasema "taste of own medicine", na kwa Kilatini ni QUID PRO QUO. Kwa Kindengereko ni JINO KWA JINO!
Not that #Jasusi anahamasisha matumizi ya nguvu lakini kwenye stadi za vita kuna kitu kinaitwa JUST WAR THEORY na ina kanuni tatu muhimu: Jus ad Bellum (uhalali wa vita) , Jus in Bello (utekelezaji wa vita) na Jus post Bellum (haki baada ya vita).
Long story short, kanuni hii ndio inahalalisha kumtoa mtu uhai kwa sababu halali. Kwa muktadha huu, kama wasiojulikana wanateka, wanaf*ra na kuua watu, ni sahihi kwa asilimia 150 nao kufanyiwa hivyo. Hii inaitwa JUST CAUSE (Jus ad Bellum)
#DutyToEducate 📚
https://t.co/jW6LR4NoDG
Macho yako yanaona kama MIMI?😳
Huyu mtu alieuwa watu kwa MAELFU kwenye maandamano ya MO29 jana kaonekana akimfuatilia Makamu mwenyekiti HECHE na msafara wake.
Mtandao hausahau—naiacha hapa kama sehemu ya kumbukumbu zetu.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Elsie Kanza, you self-serving fool,
You are downplaying the religious tensions in Tanzania. Why don’t you explain to @SenTedCruz and @SenatorShaheen why, just 24 hours ago, this notorious Sheikh, well known for his repeated calls for violence against government critics, was allowed by Samia Suluhu’s regime to hold a press conference and openly threaten protesters with death?
Can you show us a single instance in which a Christian leader was permitted to make such statements publicly?
@SenateForeign@SFRCdems The illegitimate Tanzanian government is currently using Muslim leaders and paid agents to issue death threats against protesters. This dangerous rhetoric is being allowed to spread openly.
Ila WAZUNGU! 😂😂
Kuna sehemu nimepita hapa BRUSSELS, UBELGIJI ambapo ni MAKAO MAKUU YA UMOJA WA ULAYA, nimekuta WAPO “BIZE” wanafuatilia huo 👇 “UFAFANUZI”. Sasa, sijui WAMEELEWA?
My niggas couldn't read, had impediments
But they never would leave any evidence
Your mother still in pain, it been a few days
But you notice all it came with minimum wage
🗣️
#TANZANIA: TUNA RPC AMBAYE AMEAMUWA KUWA MWANA CCM NA KUTUUMIZA VIBAYA SANA, YUKO HAPA KWA KAZI MAALUMU - PONERA
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Belchomas Ponera leo Juni 20, 2026 akiwahutubia wakazi wa Songea Mjini amesema RPC alituma watu kwenda kuvamia nyumbani kwao na kuvunja mlango na kuanza kupiga ndugu zake ili waseme alipo, "tuna RPC ambaye ameamuwa kuwa mwana CCM na kutuumiza vibaya sana, tulikuwa tunadhani RPC anafanya kwa bahati mbaya kwa namna alivyomkamata Lissu, kumbe RPC huyu yuko hapa kwa kazi maalumu"
Zaidi: https://t.co/hkuJ6cNFFp
Hii ndo kazi mnayoiweza @tanpol
Sijui kwanini haifiki hatua mkaona aibu.
Uzuri ni kwamba huko kwenu tuna ndugu zetu wanaopinga Mauaji na utekaji kama sisi.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, @HecheJohn, leo Juni 20, 2026, ameuponda uongozi wa chama tawala kwa kushindwa kujenga uchumi wa viwanda nchini, akitolea mfano wa bidhaa ndogo kama (toothpick) ambazo zinaagizwa kutoka China badala ya kuzalishwa ndani ya nchi.
Akizungumza na wananchi wa Tunduru mkoani Ruvuma katika ziara ya programu ya 'Katiba Mpya na Free Tundu Lissu', Heche amebainisha kuwa umaskini wa ukanda wa Kusini unasababishwa na mfumo wa uongozi unaosafirisha rasilimali na fedha kwenda nje, badala ya kujenga viwanda vya ndani ambavyo vingezalisha ajira na kuwezesha fedha hizo kuzunguka miongoni mwa wananchi wa kawaida wakiwemo mafundi na madereva bodaboda.
"Fedha inatoka hapa Tunduru inakwenda China kutengeneza ajira kule, kumbe tungekuwa na kaviwanda hata vya toothpick hapa, hii fedha isingeenda China ingeingia kwenye hiki kiwanda kikuajiri wewe, na wewe ungejenga nyumba hapa Kusini. Shida tuliyonayo ni aina ya uongozi unaosafirisha kila kitu, hata magunia ya kubebea viazi na ufuta tunaagiza nje, wakati tuna misitu ya kutengeneza viti na meza hapa hapa," amesema Heche.
Heche amesema kuwa nchi ina utajiri mkubwa na vijana wana nia ya kufanya kazi lakini wanakwamishwa na "akili ya CCM ambayo imeganda," akisisitiza kuwa CHADEMA ina mbinu na uwezo wa kuifungua nchi kiuchumi kupitia ujenzi wa viwanda vya ndani vitakavyookoa mabilioni ya fedha yanayopotea nje ya nchi.
Hivi waziri wako wa Mambo ya Nje Thabit Kombo anakuambia ukweli ? Nafikiri anakutia moyo zaidi ili ujisikie vizuri kuliko hali halisi. Mambo hayako kawaida kabisa. Amekuambia alichoambiwa na USA hivi karibuni ? Nafikiri is a nice guy zaidi for cookies and coffee especially anapokuwa kwenye diplomat corridor.
Amkeni wapendwa! Kuna deni la dola za kimarekani milioni 191 tunaonekana kudaiwa na Iraq - kwa mujibu wa makabrasha deni letu tulikopeshwa kufikia tarehe 21 mwezi wa 12 mwaka jana ni hiyo dola 191 milioni na makabrasha yameanikwa kupitia mbunge Al Shamman
Nyieee!
Unakutana na JITU linaumizwa na sisi tunaofurahia TANZANIA kunyimwa pesa za misaada—ila haliumizwi na WATANZANIA kupigwa RISASI za vichwa na familia kwa maelfu nchi mzima kunyimwa miili ya ndugu zao kuenda kuzika na kumaliza MISIBA.
Hizo pesa zenyewe zikija si ndio wakina ABDULI wananunulia MAGARI ya mabilioni? Lini zimekuwa na msaada kwako wewe mtanzania?
Tunastahili KUTENGWA NA DUNIA kwa ukatili tuliofanyiwa na WAKOLONI WEUSI.
Walifanya yote haya GIZANI wakijua watabaki salama kiko wapi?
Baada ya kuvuja screenshot kutoka kwenye group la Maafisa Habari wa Serikali haram ambayo Msigwa alikuwa anawalaumu Maafisa hao kwamba kwanini Serikali haram inashambuliwa na wao wapo kimya hawaitetei.
Kwenye ile screenshot kulikuwa na namba ya Gerson Msigwa, watu walichukua ile namba wakamsalmia baada ya kumsalmia Gerson aliagiza Jeshi la Polisi liwashughulikie hao Vijana waliomsalmia.
Kuna Vijana zaidi 150 kutoka mikoa mbalimbali walitekwa na Jeshi la Polisi mpaka sasa haijulikani walipelekwa wapi.
Kama mnavomskia anavotamba hapa, ipo siku mtatuambia mlipeleka wapi ndugu zetu.