*Michoro ya majengo (Designing)
*Ujenzi wa majengo (Building construction)
*Maboresho ya majengo(Renovations)
*Ushauri na usimazi wa ujenzi
call 0765083555
Katibu wa CHAUMMA Mkoa wa Mbeya, Protas Mgimbila, leo tarehe 23 Juni 2026 ametangaza kukihama chama hicho na kurejea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mgimbila alikuwa mwanachama wa CHADEMA kabla ya kuhama mwaka 2015. Amepokelewa rasmi kurejea CHADEMA katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Stendi ya Kabwe, mjini Mbeya, ambapo viongozi na wanachama walimkaribisha.
Mhe. Swala sio mawasiliano ya Mtu mmoja Hili Kwa sasa ni janga kwenye nchiii hiii serikali imetufirisi kabisaa ....wakandarasi na wazabuni tunapitia kipindi Kigumu Sana ikizingatia wengi wetu ni vijana tulioamua kujiajiri na kuajiri vijana wengine wengi.
DODOMA: Akizungumza Aprili 8, 2026 katika hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, Rais Samia ametoa mchanganuo wa bei za mafuta kwa mataifa ya Ulaya na Marekani.
Kwa taarifa zaidi https://t.co/42BlolkPcE
#JamiiForums#Uwajibikaji
Huu mtego , ila tutautegua .
Mara ya mwisho Pamba Jiji kufungwa nyumbani ilikuwa tarehe 28.02.2025 .
Alifungwa 3-0 na Yanga .
Baada ya hapo Pamba amecheza game 14 nyumbani bila kufungwa.
Droo 7 , Win 7.
Amedroo na Simba , Azam , TRA, Singida , Namungo, KMC nk (TOP 10). 😂😂
Mafuta yanayotumika nchini yaliingia Nchini mwezi wa tatu kwa bei ya chini kabla ya vita..
Katibu mkuu wa Wazira aliwambia Watanzania kuna mafuta kwenye Akiba yetu ya kutumika Mpaka mwezi wa saba .
Kwanini mafuta yameongezwa bei na kwanini Watanzania waumizwe kwa ufisadi huu.