@KennedyMmari This is an "Oak Culture" for many organisations, especially manufacturing, telecom, major businesses etc. Sisi kina 'N'jomba' watu wa dili. Weledi pia nadhani unakua compromised na wengi wetu wanapoaminiwa. Being afraid dace this daylight factual encounter ni jambo jingine.
Kuna nguchiro wamechapisha namba yangu binafsi ya simu mitandaoni na kuanza kuhamasisha watu wanishambulie. Nataka kuwaambia huo ni upuuzi na ni uvunjaji wa Sheria.
Ukiondoa watu wachache sana wanatuma meseji za hovyo, asilimia 99 wananitumia meseji za kunitia moyo na kueleza utayari wao wa kuilinda nchi yao dhidi wenye nia ovu. Wale wanaoeleza changamoto za ajira na mitaji ninawapa majibu na nafikisha kwa wahusika zifanyiwe kazi.
Nguchiro na chawa wa nguchiro acheni kupoteza muda na rasilimali mkiporomosha matusi, tulieni na tuungane kujenga na kulinda nchi yetu.
@Gerry780000000@Octavianlasway Atapima. Gharama anayopteza kwenye kudai na kile atakachokipata. Wazi, nijambo linampa shida, mimi lingenipa shida pia, he has to choose.
Hii ni AMRI - ndio inatakiwa kutekelezwa. B4 hiyo, kuna HUKUMU, inaeleza mambo yote kwa kina - Ushahidi/mawasilisho, uchambuzi wa Mahakama, sheria, hitimisho au haki za watu na sababu zake. Kabla ya hukumu kuna MWENENDO - una kila kitu.
Kwa hii kesi = Mwenendo, Hukumu na Amri.
Wanasheria naomba mnisaidie kuhusu hii hukumu ya tarehe 17 Dec 2025
Inawezekana majaji kupangua hukumu bila kutoa mwenendo wa kesi hadi jinsi walivyofikia maamuzi ya kutengua hukumu?
Kwa yaliyotokea October 29-2025 na siku kadhaa mbele yake, mtu unakuaje na uwezo wa kusema kawaulizeni kama wana hamu ya kutoka lami, hapo hapo kuna tume ambayo inafanya uchunguzi! Chaah...
Leo tarehe 30 Desemba 2025, Mimi, Wakili Mzee Mpale Mpoki, na Wakili Hekima Mwasipu tulikwenda kumuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, katika Gereza la Ukonga. Yu katika hali ya afya nzuri kiasi kwani kiwango chake cha sukari kwenye damu kimeongezeka kiasi ila Daktari amemuhakikisha kuwa kitadhibitika na kurudi hali ya awali kwa kuendelea kutumia dawa na Chakula.
Ametueleza kuwa amepokea barua kutoka kwa Naibu Msajili wa Mhakama Kuu ya Tanzania kuwa kesi yake itapangwa katika kikao maalumu cha Mahakama. Hata hivyo ikumbukwe kuwa sasa Mahakama Kuu ipo likizo hadi tarehe 31 Januari 2026.
Mwenyekiti Lissu amesisitiza kuwa uhaini ni kosa pekee lililotajwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya Mwaka 1977 na hivyo halitakiwi kuendeshwa na kushitakiwa kwa utaratibu wa makosa mengine ya jinai.
Tutafikisha maelezo haya kwa uongozi wa Mahakama.
Vinginevyo amesema watu wawe imara na kuwa ATARUDI NA KUWA NASI.
Watu wanasahau sana. 23.08.2015 pale Jangwani kwenye kampeni, Hayati Ben Mkapa akimnadi JPM alisema;
"...wanaojiita wakombozi ni wapumbavu na malofa."
Kuvumiliana tu.
Ila bishop 🤣🤣🤣
Lofa hawa wanasumbua sana! Watulie dawa iwaingie! Sisi tunamwagiwa matusi wao wameambiwa ukweli wanatoa milio!
Hawa ni pumbaf na malofa! Yanachukua pesa za Abdul na kubwabwaja! 🚮
#TutaelewanaTu