Kuna jamaa aliuza kiwanja hapa Area C dodoma , Milion miasita. Kawapa washkaji waliomfanikishia dili million moja moja .
Wakalalamika ila ndo hivyo pesa sio zao . Jamaa akatumia milion 40 kukarabati nyumba yake . Akanunua gari la milion sita .
Huu ni mwaka wa tatu tangu spate hizo hela . Ila Leo hana hata mia na miradi ya maana hana .
Ama kweli pesa ni maua .
Hii ni washing Machine ya Hisense Manual 20KG
Hapa imefika kwa mteja Kibaigwa Dodoma!
Inafaa kwa matumizi ya familia kubwa au hata kwa biashara
Karibuni sana bei yake ni 970,000
0625965198
This is **black hairy tongue** (lingua villosa nigra) — not actual hair. Overgrown filiform papillae trap bacteria, debris & pigments, making the tongue look furry and dark.
Sudden onset often follows antibiotics, smoking, heavy coffee/tea, dry mouth, poor hygiene, or bismuth meds.
**Quick fixes that usually work:**
- Gently brush/scrape tongue daily with soft toothbrush or scraper
- Stay hydrated
- Cut back on coffee, tea, tobacco, alcohol
It often clears in 1–2 weeks with better hygiene. See a dentist or doctor soon to confirm and rule out other causes — especially since meds didn’t help. Usually harmless but worth checking.
Kuna kampuni mbili za miamala hapa Bongo, muamala ukiingia tu ndo unaanza kupigiwa simu na matapeli. Nahisi wafanyakazi wao wana hii michezo. Pumbavu zenu🫵
@Zephania_Ndaki Bora hiyo mayb alizaliwa Mei, lakini hadi nazeeka nilkuwa sijawahi ona mwanamke ametoka kuzaa hana uvimbe wowote wa kibinadamu usoni, mikononi hata miguu🤔