@moodewji Uko sahihi sana Mo, kulia lia na kuomba favour Kwa serikali Kila mara na kudhamini timu zaidi ya Saba inaondoa fairness katika ligi TFF tunaomba mliangalie sana hili
@fumbokhanJr Msisahau kuishughulikia ile mbinu ya kuwahi uwanjani mapema na kumwaga mwaga dawa uwanjani mapema tena huwa wanamshirikisha na mocha wao, watu wa ajabu sana hawa mzungu anakuwa mshirikina๐
@abissay_stephen Labda ile mipango yenu ya kuvamia uwanja na kumwaga mwaga dawa mchana kweupe uwanjani mapema kabla mpira haujaanza itiki mapema nawashauri mjitahidi muse na dawa za kutosha
@MASHUJAA_FC Main sponsor GSM kudhamini timu zaidi ya Saba inaondoa fairness katika ligi mnawapa points yanga na kuwatengenezea ubingwa Kila mwaka tuu kama mmelogwa vile halafu mnajisifia ujinga