Unakampuni au mtu binafsi?
Unatoa huduma yoyote inayohusiana na magari?
Karibu uwe sehemu ya mradi huu kuelekea msimu wa pili wa ndinga festival Ndinga Festival ni mradi unaokutanisha wauza magari na wateja kwenye uwanja mmoja na huduma zote wakati wa ununuzi wa magari unakuepo
A one stop center for the car industry. Benki,Bima,Huduma za mikopo ya magari,Huduma za kisheria na mikataba,vipuri vya magari, nyamachoma na drinks pomoja na burudani kibao.... Kiingilio ni Bureee kabisa.
Ni msimu wa pili wa #NdingaFestival upo tayari?
Kutana na wauza magari pamoja na wateja moja kwa moja katika viwanja vya posta kijitonyama
Huduma zingine zote katika ununuzi wa magari zitakuepo
Kaa tayari kumiliki ndinga yako🔥🔥 @CloudsMediaLive @100foldinternational
Feel Delighted to be part of the Ndinga Festival that showcases, Sells cars at a 30% discount, and brings Sellers and Buyers together under #ndingafestival organized by hundred Fold International and Clouds Media Group
Cc @NdingaFestival#NdingaFestival2022#NdingaFestival
Misosi Misosi
Choma Choma za kutosha kutoka
@kitilas_kitchen@MambozCornerBBQ
Karibu Viwanja vya posta kijitonyama ujipatie ndiga yako kali huku ukijipatia misosi ya kutosha
Ndani #NdingaFestival
Watu hawana muda wa kupoteza, chap chap unaingia hapa Viwanja vya Posta Kijitonyama, unafanya biashara kisha unaendelea na hamsini zako kama mshkaji ambaye siku imekuwa poa kwake baada ya kuuza gari yake! 🙌🏽 • #NdingaFestival
Cc @NdingaFestival
Ndinga ya Ndoto yako ipo Viwanja vya Posta Kijitonyama leo, na inauzwa kwa bei sawa na bure kwenye #NdingaFestival 🔥 Una Ndinga yako unataka kuuza au kuvunja na gari nyingine ya Ndoto yako!? Ibuka Viwanja vya Posta Kijitonyama muda huu • @NdingaFestival
Cc @kyleadson