@magode75@godbless_lema Bro hao watu hawajafunga na hawajui maana halisi ya kufunga. Lengo kuu la kufunga ni kuutiisha mwili ili roho ipate nguvu. Ukiwa katika roho swala la chakula linakuwa halina mashiko kabisa.Hao WAMESHINDA NJAA hawajafunga.
@ndumbwesai27@wisdomjaykwa Agano jipya linaongelea mwisho wa utawala wa sheria na mwanzo wa utawala wa neema. Mirathi inagawiwa kulingana na sheria za nchi na mila za jamii husika. Kuna vitu ukristo haujaingilia wala kubadilisha . Wizi pia unakuwa dealt na sheria za nchi + hukumu ya Mungu juu ya mhusika.
@Allyiss99334549@wisdomjaykwa Yes, agano la kale ni utawala wa sheria(law). Agano jipya ni utawala wa neema(grace). Yesu alitimiliza sheria ya Musa kwa maisha na kifo chake msalabani. Kwa kufufuka kwake alishinda dhambi na mauti hivyo kutupatia neema ya wokovu kupitia sadaka yake(damu yake).
@mmanyema5@wisdomjaykwa Yes tunayaishi kwa sababu Yesu alikuja ulimwenguni kwa ajili ya kutimiliza torati(agano la kale). So kwa kufuata ma kuishi mafundisho yake tunaitimiliza torati.
@Jambotv_ Ndugu zangu waislamu, Invest in Education. Mtakuja kunishukuru baadaye. Ukilinganisha hoja za huyu sheikh na maaskofu wa kikristo unaona tofauti kubwa sana inayosababishwa na uelewa/elimu. Invest in education.