DPP kapigwa PAIPU ya sheria huko kaacha NDALA.
Dunia nzima inajua LISSU sio muhaini. Tunajua mnajua nguvu yake akiwa huru ndio inawaumiza VICHWA.
Aliepewa kapewa, Lissu kapewa kupendwa na WATANZANIA hata mfanyaje hilo halijikubadilika.
MUACHIENI MZEE WETU.
REPOST 200
Nafikiri Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa inahitaji kufutwa haraka na kutengenezwa ofisi mpya kwa mujibu wa sheria. Inawezekana vipi wakashindwa kutafsiri amri halali ya Mahakama (Drawn Order)?
CHADEMA tulifungua shauri la nyongeza (MISCELLANEOUS CAUSE No. 12812 la 2026) katika Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sub-Registry ya Manyara iliyopo Babati.
Waombaji (Applicants) ni Katibu Mkuu CHADEMA na Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA, huku wajibu maombi (Respondents) wakiwa ni Msajili wa Vyama vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
CHADEMA tulifungua maombi tukiomba:
1. Mahakama itoe amri ya muda (interim order) kumzuia MSAJILI kuchukua hatua yoyote hasi dhidi ya CHADEMA tukisubiri kusikilizwa na kutolewa maamuzi kwa maombi ya kibali cha kufungua maombi ya amri za mahakama (prerogative orders)
2. Amri nyingine yoyote au unafuu ambao Mahakama ya Haki inaweza kuona ni haki na usawa kutoa.
Maombi haya yalikwenda kwa ajili ya uamuzi wa upande mmoja (ex-parte ruling) mbele ya JAJI I.C. MUGETA, ambapo mawakili wetu—Mpale Mpoki, Nyaronyo Kicheere, na Hekima Mwasipu…
Walisikilizwa pekee yao bila uwepo wa wajibu maombi. Sheria inaruhusu utaratibu huu wa dharura (extreme urgency) ili kuepusha hatari ya madhara yasiyorekebishika (risk of irreparable injury).
Maombi ya CHADEMA yalikubaliwa, na tarehe 25 Mei, 2026, Mahakama ilitoa amri zifuatazo zilizotiwa saini na Jaji I.C Mugeta na kuwekwa Muhuri halali:
(i) Amri ya muda ya kuzuia (interim injunction) inayomzuia Msajili kuchukua hatua yoyote hasi (adverse action) dhidi ya Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA), kama vile kufuta usajili wa chama au kusimamisha shughuli zake.
(ii) Hakuna amri yoyote kuhusu gharama za kesi.
Amri hii inafanya kazi kama breki ya dharura na ngao ya kisheria. Lengo lake si kumaliza kesi, bali ni kugandisha mambo yalivyo kwa muda ili kulinda hali halisi (status quo). MSAJILI haelewi haya mambo?
Hivyo, chini ya amri hizo, CHADEMA inaendelea kuwa na haki na uhalali wa kufanya shughuli zake zote mpaka mahakama itakapoamua kama itatupa kibali cha kufungua maombi ya prerogative orders.
Katika maombi ya msingi, CHADEMA tunaomba amri ya Certiorari (neno la Kilatini linalomaanisha “Kujulishwa” au “Kuthibitishiwa”. Kusahihisha makosa yaliyofanywa na mamlaka za chini.
Hii ni amri kuu inayotolewa na Mahakama Kuu kwenda chombo cha kiserikali au chombo kinachotenda kama nusu-mahakama (quasi-judicial body) kufuta uamuzi uliokiuka sheria za nchi.
Sasa inanishangaza kumsikiliza mtu anaitwa SISTY NYAHOZA akidai barua yao mpya kwa CHADEMA ni "jambo jipya" na kwamba amri za Mahakama haziwezi kuzuia ofisi yao kufanya shughuli zake.
Ikiwa Msajili au mamlaka itakaidi zuio hili na kuchukua hatua yoyote hasi dhidi ya CHADEMA kinyume na AMRI hii halali ya CHADEMA itakuwa ni dharau kwa Mahakama (Contempt of Court).
Hawa watu, wanatumika vibaya, wamepachikwa tu kwenye ofisi za umma na hawawezi hata kutafsiri sheria. SISTY na MUTUNGI wanatakiwa kuitwa mahakamani mara moja kujibu tuhuma hizi.
MAHAKAMA YA RUFAA KUSIKIKIZA KESI DHIDI YA MHE. LISSU, June 11,2026:
Mahakama ya Rufaa itasikiliza maombi ya Mkurugenzi wa mashitaka nchini dhidi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe Tundu Antipas Lissu Alhamisi ya tarehe 11 June, 2026.
Haya ni yale maombi ya Jamhuri ambayo waliyapeleka baada ya Mahakama kuu kukubali pingamizi la Mhe Lissu dhidi ya maombi ya Serikali kuraka kuongeza maelezo ya nyongeza ya shahidi.
Jopo la Majaji 3 wa Mahakama ya Rufaa wamepangwa ambao ni, Mhe Mwalija, Mhe Jaji Muruke na Mhe Jaji Khamisi.
Hakikisha ujumbe huu umewafikia kwa wingi marafiki wa Demokrasia na Haki.
@ShundoGaston,
Mkurungenzi wa Sheria wa CHADEMA HQ
@EduTalkTz a celestial multiplicity that lies beyond the grasp of ordinary perception. His work is not merely the earth, there may be countless planets and galaxy that host living beings like us or not like us.
There are countless galaxies that may be
@EduTalkTz inexhaustible potentiality. To measure the Infinite through the lens of the finite is to mistake the shadow for the sun. Furthermore, God does not exist in solitude — He dwells within an eternal communion of beings of His own essence,
@JOH_MCI Angelikuwa comedian kama mpenja ungemsifia ila sasa kwa hana comedy hutangaza vitu serious unamuona hafai. This man is the greatest commentator right now.
@anuskills3 Bro, ww na elimu yako yote unashabikia America mbona unaboranga. To, some extent Iran maybe right. Amerika wants to subdue every country so they can tell anyone to do what they want. Countries support America have all signs of satanism, ( LGBTQ, paedophile..
@Sativa255 Hujawahi kulogwa, au kushuhudia uchawi. Do not despise the experience you've never been through before. With everything you would do, yet would stuck. Ask God so you may have wisdom.
@dekim_Kalvino The Bible centers on faith in a transcendent reality—the Holy Spirit—known through inner experience rather than empirical proof. For those who haven’t encountered that dimension, its claims can seem difficult to grasp.