Linapokuja swala la kushika dola, ccm haijawahi kugawanyika. Tusikubali kupangwa sasa eti Nchimbi anaonewa. Ni wamoja hao, wanatupanga ili Nchimbi apewe nchi ccm ibaki madarakani. Kataa wahuni.
Watanzania ndugu zenu wanapambana huku kwa ajili yenu.
Msaada wa Marekani tutaupata. Acha huyo muuaji akimbilie kwa Putin ila msaada tutaupata.
@Liberatus80@tausilikokola aiseee nyie viumbe wawili siku mkirudi TZ itabidi mbebwe juu juu.
Unfortunately I couldn’t make it Ila next time na mie nitatinga huko Bungeni. Tatizo langu moja tu, I’m still too emotional juu ya October 29, nikianza kuwahadithia kilichotokea sichelewi kujitupa chini huku napiga ukunga wa kiswahili. Nikifika sehemu Naweza kuongelea October 29 bila kulia mpaka kwikwi nitakuja. Ila ahsante sana kwa mwaliko @tausilikokola , next time nita accept.
Watanzania these are our national heroes @tausilikokola@Liberatus80
Sasa tutaona Samia na Putin kama wataweza kushindana na Watanzania na Marekani…..
Tuanzie wapi operesheni yetu ya KIJANA NA KATIBA?
Niandikie maoni yako hapa na yatazingatiwa kadri ya mapendekezo, ni muda wa KINDUMBWENDUMBWE nchi nzima ✌️🔥
#FreeTunduLissu#KIJANANAKATIBA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. John Heche, pamoja na Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. John Mnyika, leo tarehe 4 Juni 2026 wamewasili Pemba, Zanzibar, kwa ziara ya kikazi ya siku tatu itakayofanyika kuanzia tarehe 5 hadi 7 Juni 2026.
Viongozi hao wamepokelewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Mhe. Said Mzee Said, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Mhe. Ali Ibrahim Juma, pamoja na viongozi wa Kanda ya Pemba wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Mhe. Omar Nassor.
Ziara hiyo ni sehemu ya shughuli za chama za kuimarisha uhai wa chama, kuzungumza na wanachama na viongozi, pamoja na kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti Chadema Zanzibar Mhe. Said Mzee Said akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kilwa Kivinje leo, tarehe 03 Juni 2026.
Kaimu Mwenyekiti Kanda ya Kusini Mhe. Belchomas Pomera akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kilwa Kivinje leo, tarehe 03 Juni 2026.
Matukio katika picha wanawake jasiri wa Bawacha wakizungumza katika mkutano wa hadhara Jimbo la Mpanda Mjini, Mkoani Katavi leo Mei 31, 2026.
#KatibaMpya#FreeLissu
JESHI LA POLISI LIMEVAMIA NYUMBANI KWA MBYELLA (ANAYEUZA NGUO NA VIFAA VYA CHADEMA NA KUONDOKA NA TSHIRT, KOFIA, NGUO NA BENDERA ZA CHADEMA.
Nimepata taarifa kwamba usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane, Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt zenye maandishi “FREE TUNDU LISSU”
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella mwenyewe hakuwepo nyumbani so Polisi walifanya upekuzi na baada ya kumkosa waliondoka kwa muda.
Baadaye walirejea wakiwa na Gari aina ya Fuso kisha wakabeba nguo zote na vifaa vyenye nembo ya chadema ikiwemo Bendera za Chadema ambazo huwa anauza kisha wakaondoka na mali hizo bila kutoa sababu zaidi.
Kwa mujibu wa mke wa Mbyella (anayeuza nguo na vifaa vya chama) nyumbani kwao kuna duka la kuuza vifaa hivyo ambavyo Polisi wameondoka navyo vyote.
Tunafuatilia kufahamu sababu hasa ya kuvamia nyumbani hapo na kuleta taharuki kwa mtu ambaye hata kama wangemhitaji Polisi, wangempatia wito na angefika kituoni kama Polisi walikuwa na jambo na Mbyella.
Kuuza vifaa vya chama kama nguo, kofia, Bendera siyo kosa kisheria.
REPOST 200
Kwanini serikali haitekelezi maamuzi ya Mahakama.?
Amehoji Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu Prof. John Ruhangisa wakati wa mahojiano maalum ya kipindi cha #KatibaKitaa jijini Arusha.
Kutazama mahojiano kamili tembelea Youtube ya Wakili TV.
The Tanzania police deployed military-grade weapons during the October 29th protests. It’s as though the illegitimate government had declared war on its own people.
Instead of listening to the voices of its citizens, it responded with overwhelming force. The world cannot allow Samia Suluhu to remain in power!!!!!!
@potus@realDonaldTrump@SenTedCruz@SenatorShaheen
‼️🚨TUMEJUA MPANGO WAO OVU‼️
Msione huyu Sisty anahangaika kama kuku anayetaka kutaga - KATUMWA!
Wanalazimika kumwachia Tundu Lissu ila wameongea na kukubaliana akitoka Lissu akose platform ya kuongea na umma - so wameazimia kuifungia Chadema kama si kuifuta!
Tena msibishe nyie madhulmati wauaji maana vikao mkikaa tunapata details zote! Na hii niligusia ila jana au juzi kikao ndo kimeamua rasmi huu upumbavu!
Ni hivi: ACHANENI na huu uovu! Lissu mwachieni na CHADEMA acheni iendelee na kazi!
Sisi tunataka serikali na bunge haramu wote muondoke! Tuanze upyaa! Uchaguzi huru, haki na uwajibikaji kwa ajili ya mauaji ya Oct 2025 na Katiba Mpya
These are our demands kama wananchi and they are non negotiable!
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo