Haki sipendi hii tone ya CCM kuombwa kama wao ni Mungu watu.
Hatuwaombi tuna demand HAKI!!!!
Na tume yoyote ya maridhiano bila International community Kati kati hatuitaki na nitamia influence yoyote niliyonayo kuwaambia Watanzania waikatae tume itakayoundwa bila wapatanishi wasio na upande wowote na bila Tundu Lissu kuwa mezani akiwatuwakilisha Watanganyika tuliopigwa risasi October 29…..
Maridhiano yoyote bila Muwakilishi wa Watanganyika (Tundu Lissu) hatuyatakiiiiiiii.
N hiyo katiba anayoongelea Mzee Wasira ya kutaka kuifuta Tanganyika ili Zanzibar iweze kutawala na kuinyoka Tanganyika won’t happen. STUPID!!
Tuendelee na hii hii amani ya amani ya bunduki tutajua mbele kwa mbele ila kuchezewa akili na kimama na machawa wake msahau.
Na hatuombi CCM watupe katiba mpya wala watupe haki, wasipotoa tutachukua wenyewe!!!!
Niiitieni wateja woooteeee wa Mwamposa!!! maana nikitumia waumini nafsi inakataaaa ...Waiteni na followers au wafuasi wa Bro Tony Kapola ...PART TWO LOADING!!!!!
HATUJAMALIZANA BADO
#tanzania#friends
Washa panic hawa 🚮
We mzee Wasira - Tanganyika si nchi mpya
Kati ya Tanganyika na Tanzania ipi ilikuwepo kabla?
+255 ni ya Tanganyika
+259 ya Zanzibar
Sasa mkataka kuiua Tanganyika na kuipa mambo yake yote muungano ili muinyonye sasa tumegoma!
Sisi tunaitaka irudi Tanganyika alafu Tanzania itaomba + ya kwake!
Mtatutelewa tu hamna namna 👊🏽
Tanganyika LAZIMA na hatutaki serikali ya umoja wa kitaifa kama Zanzibar mtaridhiana huko huko not Tanganyika
Nasema #TutaelewanaTu
Mwigulu ameshalikoroga , Abdul anataka kula kichwa hapo,
Mwaipopo anatoka vipi kulalamika ametumiwa message halafu ina namba za Mwigulu ? kwamba leo hii mtu akikutumia message na kutaja namba za mtu mwingine kwamba check hizo namba ndio mimi wakati amekutumia kwa namba tofauti,
Kisha unaibuka kuongea na vyombo vya habari ? Mwaipopo mwenyewe ni bingwa wa kutuma Message za vitisho, sasa leo anaogopa nini wakati nina Audio zake kibao akitishia watu?
Hii ya Mwigulu wao wamshughulikia tu, si alifikia kwamba Hawa Wazanzibari ni wenzake, akaanza kushare siri zake za yule jamaa rafiki ya Shoo.
Sasa wamesha mchoma mipango yake yote Abdul anaijua, Hiyo network yake ya KKKT na hao Maaskofu ndio wamemchoma vizuri tu, lazima kimlambe, huyo Mbilu ulimuona ni mtu salama yule ?
wenzio wamepewa tenda za TANESCO halafu unawaambia kwamba unataka uraisi wa LUTHERANI ukaamini kabisa mko serious kwenye hiyo game yenu?
Hiyo kutamba kwamba unajua siri za Abdul na Mama yake ndio sababu kinakwenda kukulamba, wenzako wameshafika bei wamekuchoma