@HildaNewton21 Hilda wewe hupiganii haki ila unataka kutuvuruga unaleta udini ktk nchi yetu kama upinzani ndio mna hoja dhaifu kiasi hiki hamtaweza kamwe kupambana na CCM chama ambacho kimejenga misingi imara ya hoja zisizo na ubaguzi wowote
@mangekimambi Ukuje na ww tuende wote acha kutujaza ujinga Lissu mwenyewe anapambania ugali wake sio sisi acha CCM bado iko vizur nchi imetulia maisha yanaenda
@mangekimambi Huna hoja Tena tushakujua acha nchi yetu itulie mambo yaende, watekaji ni wasio itakia mema nchi yetu. Rais anafanya kazi yake vizuri sana
Ktk maisha unaweza kukutana na rafiki mwema mkasaidiana ktk kila Hali,wakati mwingine anabeba jambo lako kwa gharama kubwa na kwa upendo ila Kuna namna tu inatokea anatoweka kwenye maisha Yako bila mafarakano bas tu inatokea.INAUMA SANA,๐ญMungu akusaidie ww uliyekuwa rafiki mwema
Usimkatie tamaa mwanaume ambaye hajazikwa, njia yake siku zote ni ngumu sana lakini kesho yake ni nzuri imejaa mafanikio mpe muda mwombee kwa Mwenyezi Mungu #nelsonmassawe
@godbless_lema Makonda ndiye mkuu wa mkoa jasiri na hodari haijawahi tokea nchii hii ndio maana kila anapoenda mnatetemeka sisi Arusha tumempokea kwa mikono miwili
Pole sana Mama , mawaziri wanakutukana ? umewakosea nini ? Nimeumia sana.Ndio maana Nchi mambo ni magumu,kumbe unacheka nao lakini sio wema kabisa! Pole sana Mama na Rais wetu kwa matusi ya Mawaziri.Mimi,Neema na watoto tunakuombea sana.Pole Mh Rais. Sijapenda kabisa.