@KijanaWaHovyo69@Eng_Matarra Hiyo ni AI mode ukiangalia hapo utaona alama ya Instagram Ina maana robot imechukua information kutoka kwa mtu aliyepost huo uongo Instagram, Huyu padre alikuwa military chaplain Sudan Yani alikuwa anatoa huduma za kirogo kwa askari waliokuwa wanalinda amani huko ila sio askari
@DonMkwavi@safarimlevi@salim_alkhasas Serikali haiwezi kushindwa kulipa mishahara kisa wewe haujafungua duka siku Moja banaa, hicho unachoongelea ni kidogo sanaa kulinganisha na vyanzo vya mapato ya serikali so watu kulipwa watalipwa tuuu ila ni kweli kwamba Kuna vitu vingine hawataweza kufanya ila mishahara hapana
@mangekimambi Hapo ni Kabwe Mbeya always huwaga Kuna msongamano mkubwa wa watu ni kama Yanga wanavyopitaga mtaa wa msimbazi kwenye parade hata kama kariakoo kwa mbeya
@salim_alkhasas Hiii hapana aseee, tunachoongelea hapa ni culture kwa Nchi kama Marekani Baba akiwa Rais automatically the whole family becomes Presidential ila kwa Tanzania the case is different, The Presidency and the family of the President are two different things
@Sharb84@BarakaMaviatu CCM haiwezi kufa kirahisi hivyo Mzee, itakuja kufa ila sio simple hivyo lile lidude ni likubwa mno Yani kwa lugha nyepesi CCM ni kubwa kuliko Tanzania
@HildaNewton21 Now ndio naelewa ninyi kweli mnanufaika na Lissu kuwa ndani, imagine this gaslighting hata kama walikuwa Wana Nia ya kumtoa hawatamtoa Ili kuwaprove wrong.... Hizi tweet mnafanya makusudi Ili yule Mzee wa watu aendelee kukaaaa ndani
@RKishaija81715 Wanetu mna utani sana Nchi inayokaribia kuanguka kiuchumi inalipa mishahara mamilioni ya wafanyakazi tarehe 23 bila kupitisha hata siku??? Nchi inaanguka Inaaajiri na kutekeleza miradi ya maendeleo???kuna global crisis ya mafuta ila still hujapaki gari Yako kwa kukosa mafuta...