Mshahara laki Tatu,
Nauli elf4 per day,
Assume unakula+matumizi mengine kwa siku ni elf5,
Jumla Elf9 per day,
26×9000=234,000
300000-234,000=66,000
Mwezi mzima faida 66,000 Oya
KATAA UTUMWA
Kuvuka kwenye Zebra sio salama tena maana waendesha vyombo vya moto karibu wote hawayazingatii tena.
Ikiwa red wanapita ikiwa green wanapita kazi kwetu wananchi 🙌🙌
Wakati Argentina Team inamtegemea messi kuisaidia team, huku upande wa pili team inalaumiwa ili imsaidie Ronaldo.
Na hii ndio tofauti ya G.O.A.T na goat😂🚮....
Kutokuwa na pesa kwa mwanaume ni mtihani mkubwa sana, lakini mwanaume kutokuwa hata na pesa unayoisikilizia ni mtihani mkubwa zaidi,
Mungu aendelee kutupa nguvu wanaume wote ambao ni watafutaji maana si rahisi kuwa mwanaume.
Good morning hustlers 🙏🏾