@mayaijumla@ProLearner77@Makaveli_255 Kwa hiyo Jumba kubwa linakaa bila mtu mwaka mzima mpaka december linalindwa tuu? ...panya na mchwa wanajiachia tuu
@master_plan9 Sehemu zenye ukame huwa zina muonekano wa umaskini sana. Imagine makaz duni yapo sehmu kuna vumbi na hakuna uoto..Wilaya za Njombe au Mbeya hata kijiji kikiwa cha kimaskini huwez kuona ile hali mbaya maana kuna uoto wa asili, miti ya kupanda, migomba n.k
@zed_ogtz Mna mashabik wengi ambao hawajui mpira hawafuatilii mpira wao ni fuata mkumbo tuu hasa wanawake kama ilivyo kwa Nyumbu.. kundi la nyumbu 100 aliye mbele akielekea kusini wote wanaenda hata kama kuna hatari
@CavityDamas23 Nyumba ipo nzuri na kubwa anaishi mama yake tuu kwanini wakalipe kodi huko kitaani? Kwanza anasaidia kumtunza bib mkubwa hata kaka zake watakuwa wanafurahi maana shida ndogo ndogo wanajua mdogo wao anazimaliza