@MsigwaPeter Hawa ndiyo wanafanya POLITICS Ionekane ni mbaya.
POLITICS ni science tena ni taaluma. Tunatakiwa kuiheshimisha na kuipa thamani inayotakiwa.
@HildaNewton21@HecheJohn Hii interview Heche kuhojiwa na Manara ni dharau. Alikuw anauliza maswahi ya kitoto sana. Bora hata mzee wa kaliuwa na Charles.