Na vijana tulisema hii pesa hatutafuti tuweke bank. Hii pesa tunatafuta ndio tupunguze mateso hapa duniani. Money is an accesory for your daily life, not a trophy to store in the cabinet. Sasa isikuwe ati wewe ukipata pesa unaskia uwoga ya kuitumia isiishe. Ya kuisha itaisha ata uchune shilingi moja kila siku. If you can post pone suffering for atleast one day please do,juu kwanza wewe ata hujui utakufa lini.
Na shida ya hii kitu tunaita poverty,ni inakuwachanga na majeraha. Yani mpaka ata siku utapata uwezo kifedha,unaogopa kujipa pole pesa isiishe urudi mtaro tena. But we cant live like that,can we? Unajua ndio maana ata mungu aliambia hii mutu inaitwa Lot, wakitoka gamorra wasiangalie nyuma. Aende na aende kapsa. Sababu ukiangalia nyuma utapata taabu nyingi sana
Ndio maana mimi nilihamia hii apartment iko na lift. Kuna contract nilipiga ya conservancy ingine pale nakuru,hiyo itanishikilia rent hii mwaka. Next year wacha itajipanga Juu mimi naye kujinyima nimekataa. Makosa tu nilifanya baada ya kuhama ni moja,niliangalia nyuma kama bibi ya loti,nikaita majirani yangu kutoka kasarani ati wakuje house warming,wakaniibia sahani ya micro wave
Sahii sasa nataka pesa ikikuja msuri tena,niingie golf club. Hii ya hapa Karen. Hapo ndio mtakua mtatupata na uhuru tunaongelea shares za NCBA,nyinyi endeleeni kuogopa kutumia pesa nugu izi. Mtakufa muwachie yote apa