Ndugu yangu Twaha Mwaipaya BADO hatujampata.
Tuendelee kuweka #FreeTwahaMwaipaya au kurepost bila kuchoka kama ambavyo alikuwa mtu asiechoka juu ya kupambania nchi yake.
#FreeTwahaMwaipaya
REPOST 200
Taarifa kwa Umma.
Leo ndugu yetu @malisa_gj alikuwa anarejea nyumbani kutokea Nchini Marekani, alikokuwa amekwenda kwa Program maalum ya wamarekani kupeleka viongozi vijana, nitaeleza kesho kwa kina
Malisa alishukia Nairobi na kisha kubook ndege nyingine ya Shirika la Flightlink iliyokuwa itue uwanja wa ndege wa kimataifa Kia majira ya saa Sita mchana.
Wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata airport wana mgomo ulioanza siku ya jana na mgomo bado unaendelea hali iliyopelekea mashirika ya ndege yanayotumia uwanja wa Kenya kufungwa kutokana na mgomo huo.
.
Sasa ndugu yangu alinipigia simu na kunielezea hali hiyo tukashauriana kwasababu Kenya siyo mbali nikamshauri kwasababu hatujui mgomo utakwisha lini nikamwambia achukue Bolt aje mpaka Count ya Kajiado ambapo na mimi niliendeshq gari kutoka Moshi mpaka Kajiado, nikamchukua tukaanza safari ya kurudi nyumbani tukafika Namanga majira ya saa 10 jioni akafanikiwa kugonga passport upande wa Kenya na alipofika upande wa tz wakachukua passport yake na kumwambia aingie ndani kwasababu passport yake haionekani kwenye mfumo.
Nimekaa nae pale mpaka majira ya saa tatu kasoro ambapo maafisa uamiaji kwa kushirikiana na watu wengine ambao hawakuwa na sare walimchukua Malisa wakasema wanampeleka kituo cha Polisi Longido, nikaenda mpaka Longido, nilipofika pale nikamuulizia kwa askari aliyekuwa zamu akasema pale hajapelekwa, lakini akaniambia gari ilyokwenda kumpakia aina ya Hillux double cabin ilipita kituoni wakati wanakwenda Namanga walivyorudi hawakusimama gari ilipitiliza ikiwa kwenye mwendo Mkali. Nimefika kituo cha Polisi Arusha wamesema hajaletwa hapa, nimeondoka naelekea kituo cha polisi Moshi,
Ni wito wangu kwa Askari wa Uamiaji watueleze ndugu yetu yuko kituo gani ili tuweze kumpatia Chakula, Jeshi la uamiaji ndio watu pekee wanaojua alipo ndugu yetu maana wao ndio waliomshikilia mpaka anachukuliwa Namanga.
.
Malisa ni mtu mwema sana sana hanaga shida na mtu hakustahili haya anayotendewa.
@Skinny36479503@Jambotv_ We kilaza kweli Yan hujui hata jumuiya ya madola eti unasema niwazungu wakati haya waziri wenu ni mjumbe kweli ccm hajawahi kuwa na akili
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefungua rasmi dirisha la maombi ya udahili kwa waombaji wa shahada ya kwanza katika taasisi za elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2026/2027.