π£ππ₯ππ§ππ¦ ππππ ππππ ππ π₯πππ
Stephane Aziz Ki has been the subject of an enquiry by Orlando Pirates as reported by @Joshua_Journo.π₯π΄ββ οΈ
The Buccaneers are said to have sent a delegation to negotiate a deal with the Burkina Faso internationals contract set to expire in June 2024. π€
Player profile π½
https://t.co/m25ywARmQN
Mambo ni mengi kwa sasa. Unaweza kujikuta humuelewi kabisa jamaa yako kwa jinsi anavyohangaika hadi kuonekana kama anajidhsririsha. KUMBE! Malengo yake ni ubunge mwakani!
Labda kama alikuwa mbovu sana, lakini siku 44 hazikutosha kujua uzuri na ubaya wa CEO wa Ihefu hadi kufikia kumtimua. Pengine alipingana sana na mikakati aliyoikuta ambayo huenda ndiyo inaifanya timu iwe mkiani!
Tusipoangalia genge la Infantino, Motsepe na wenzao linaweza kuua soka la klabu. Haiwezekani rais wa Fifa yuko busy na club football kuliko national teams! Kuna interest gani huko?
Hivi hatuwezi kuchambua bila kulinganisha Simba na Yanga. Chambua uzuri wa mechi, udhaifu wa timu, ubora wake, michango ya mchezaji mmojammoja na baadhi ya matukio. Kwann unaishia kulinganisha na timu nyingine wakati mazingira ya mechi hayawezi kufanana yote hata siku moja?
Hivi kwa muda wote tangu aanze mgomo hakujua anagomea nini au sababu za kutaka kuondoka hadi anafundishwa kuongea dakika chache kabla ya live interview? Hapo watu wana haki kusema kuna watu nyuma yake!