SAUTI ZA MAGAIDI ZIMEMFIKIA JOHN HECHE.
Baada ya maombi ya magaidi wa haki kutaka Mh. John Heche atoe namba ili waweze kumuokotesha maokoto, nimepata wasaa wa kuzungumza na Mh. Heche nimemueleza kuwa kuna comment zaidi ya elfu 5 wanataka utoe namba wakumwagie mapesa ya kigaidi.
Jambo la kheri ni kwamba HECHE ameona asitoe namba tu ila kutokana na umuhimu wenu kwenye mchango wa kupigania haki amesema anakuja na neno kwenu kwahiyo kaeni rada maelekezo yenu yamefanyiwa KAZI.
Huu ni mzuka wa kigaidi hatuwezi kusimangwa tukavumilia sasa tunaenda kuteka mifuko yote ya Tone Tone, nchi nzima itasimama kwa muda magaidi watafanya Doria kwenye mifuko yao.
Pumzika kwa amani Mhe. Suleiman Bungara (Bwege) Tunamshukuru MUNGU kwa zawadi ya maisha yako hapa ulimwenguni, Umekuwa mstari wa mbele kupigania HAKI bila kuchoka kwa maisha yako yote💔.
RISASI ZIMEKATISHA NDOTO ZA HAWA MABINTU ZETU KWA NYAKATI TOFAUTI
Mmoja kauwawa February 6,2018 mwingine Oct 29, 2025
Sisi kama wazazi tunatamani leo tungefurahia maisha yao kama amabayo wao wanafurahia watoto zao kuwa MAWAZIRI
Mmoja ni mfungwa gerezani,na mwingine anajiita rais na machawa wake ila mfungwa anafuraha kuliko alie jipachika kwenye urais kwakuua wataganyika na bado mpaka tuone na vyandani....
#tutaelewanaTu.
#freeshujaalissu..
Nimeona video ya huyu kamanda anavyolia kama ng'ombe nimehuzunika sana halii kikamanda kabisa.
Kumbe inauma kupoteza mpendwa wako tena kwa kudhulumiwa uhai wake na watu wasijulikana?
Nimefrai ili mjue ni namna gani tunavyopitia machungu tunavyopoteza ndugu zetu.
Feel what we feel broo
My brother and friend, SC Tundu Lissu, is marking his natal day from behind bars.
Let us wish him life, strength and resilience as he reflects on his calling and what lies ahead.
Happy birthday, Tundu Lissu.
Free Tundu Lissu Now.