Unaweza usiwe mteja wangu, lakini #Retweet yako inaweza kunifikisha kwa mteja wangu. Sio lazima utoe hela, kusaidia ni kubonyeza tu. Usiseme nimekudharau siku nikipiga hatua! Kwasababu Utakuwa sehemu Ya Mafanikio Yangu.
#JM_MOTORSTZ#GariZuriBeiRahisi
Jamii yetu inahitaji utawala bora na siasa safi.
Havipatikani bila mshikamano na uvumilivu.
Ukiwa na haraka utafikia bei, utajiuza kisiasa.
Ni juu yako, maisha ni yako, njaa ni yako.
Hata hivyo, ukifikia bei ukauza utu, ni juu yetu, vilevile, kukutazama kama mshenzi tu.
Unawaangalia age mates wako na washkaji uliosoma nao, wengi wametusua maisha, career, finance, assets, family nk
Usijisikie vby Bro, just calm down. Usipanic
Wakati mwingine inachukua miaka 10 kufikia mwaka mmoja utakaobadilisha kabisa maisha yako mazima
Just KEEP GOING bro!
GM
Kauli ya MADELEKA kwangu kuwa “nitulie niendelee kuuguza maumivu niliyopewa na WASHKAJI” binafsi nimeipokea kama POLE.
Ila imeniumiza kwasababu huyu ni mtu ambae taifa lilimuamini kwenye mapambano ya kupambana na WATEKAJI nchini.
Hii kauli yake kwangu inaweza kuchukuliwa poa kwangu ila ni Ushindi kwa JESHI LA POLISI. Kwasababu anajaribu kujenga picha ambayo bila shaka inawaunga mkono jeshi la polisi kwenye yale waliyonifanyia.
Naumia ZAIDI tukiwa katikati ya vita kutafuta ndugu zetu kama ;
SOKA
MBISSE
MLAY
DEONIZ KIPANYA
AMANI MANENGERO
MDUDE
HAKI YA MZEE ALI KIBAO.
KWASABABU tuu ya UBINAFSI anatokea mmoja kati yetu ambae tuliamini tupo nae kwenye safari moja hii ngumu ya kutafuta HAKI ya kweli kwenye nchi anatoa kauli ya kipumbavu kama hii.
Najua hii imewauma wengi walioamini MADELEKA ni sehemu ya watanzania wachache waliotayari kupigania HAKI.
Rekodi hazitafichika alichangiwa zaidi ya MILIONI 73 na watanzania kama asante kwake kwa kusimama upande wa HAKI.
Leo kaamua kutoa Kauli ambayo naamini POMBE zikikata kichwani atajiona mjinga sana.
Naamini wapiga kura wako wa TABORA MJINI wamekujua kwa rangi yako halisi. Wewe uliewahi kuwa mfanyakazi wa jeshi la polisi, lakini bado unaziishi akili za KIPOLISI.
Ndio maisha hii safari ya KUTAFUTA HAKI tutaona mengi, watu kama MADELEKA wapo wengi na tutaendelea kuwaona mbele ya safari.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎