Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Ruth Hiyob Mollel na Mwanasheria Mkuu wa Chama Mhe. Dr. Rugemeleza Nshala pamoja na viongozi wengine wa chama, tayari wamewasili katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, kwa ajili ya kufuatilia usikilizwaji wa shauri linalohusu mgawanyo wa mali za chama, lililofunguliwa na Saidi Issa Mahamed na mwenzake.
Kaka Charles Odero,
Katika mazingira haya ya kuwindana na kuviziana, hayo mazungumzo yanafanyikaje?
Muafaka unaotakiwa na CCM ni ule wa kuwahakikishia kubaki madarakani milele.
@PolycarpMDM Humphrey hatuna cha kumdai alisimama kwenye haki enzi ya JK akakengeuka enzi za JPM akasimama kwenye haki pia kiasi cha kugharimu uhai wake enzi za SSH